Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

tapeli wa taifa, muongo muongo na mnafiki. Inaonekana jinsi alivyoshindwa kumudu uenyekiti wake. Dkt Magufuli si wa kumpinga, ukimpinga tegemea kupata kipigo toka kwa Mungu.
Mungu yupi anayefikiri kutumia "masaburi?" Labda wa dar!
 
Hatutaki upotoshaji wa Mbowe

Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
Hukumwona Rais wako kwenye mkusanyiko? Sivai tena Barakoa nikienda TRA kumbe wanatuzuga tu wakati Rais mwenyewe anasema ni upumbavu!
 
Tumaini la watz ni mwamba magufuli raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huyo mbowe Ni tumaini lenu nyie mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunawakati muwe mnafikiria wanaccm kabla ya kucomment toka 2015 watanzania tunalia hali ngumu ya maisha, biashara zimekufa, watu wameumizwa, hakuna ajira wala nyongeza ya mishahara na wakulima ambao ndo wanyonge kila zao limekuwa shida tupu wakulima wanateseka hali ya maisha yao imekuwa duni sana. Yaani sijui huwa mnawaza kwa kutumia nini?
 
Tumaini la watz ni mwamba magufuli raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huyo mbowe Ni tumaini lenu nyie mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo magufuli ni tumaini la wasaka vyeo na watu kutoka Jamhuri ya watu wa chato lkn wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi wote wamepotezwa mazima miaka yote 5 ya awamu hii
 
Kunawakati muwe mnafikiria wanaccm kabla ya kucomment toka 2015 watanzania tunalia hali ngumu ya maisha, biashara zimekufa, watu wameumizwa, hakuna ajira wala nyongeza ya mishahara na wakulima ambao ndo wanyonge kila zao limekuwa shida tupu wakulima wanateseka hali ya maisha yao imekuwa duni sana. Yaani sijui huwa mnawaza kwa kutumia nini?

Nenda kwa mbowe anazo ajira kwenye chama, mlamba miguu yake. Pia anazo ajira bonafsi hivyo hutakosa, si lazima uajiriwe na serikari
 
Mbowe ni kaka wa taifa
Hakika
FB_IMG_1570488518462.jpg
 
Mnaboa s
Nenda kwa mbowe anazo ajira kwenye chama, mlamba miguu yake. Pia anazo ajira bonafsi hivyo hutakosa, si lazima uajiriwe na serikari
Mnaboa sana jaribuni kuwa na logical reasoning sio kila jambo ulihusishe na siasa mie binafsi sifungamani na chama chochote bali penye kusitahiri kusifiwa na kupongeza nafanya hvyo kwa kila chama, wafuasi wa siasa punguzeni unazi bhana angalieni na uhalisia wa mambo yanavyokwenda
Isijekuwa teyari ostabei
 
Angalia picha hii halafu toa maoni yakoView attachment 1452518

1----Maoni yangu ni kwamba upinzani sio uadui.
2--- Nchi hii ni yetu sote wala siyo mali ya chama kimoja cha Siasa.
3---- Tuweke tofauti zetu kando na tujadili mambo ya msingi ya nchi yetu kwa pamoja.
4----- Kumbe viongozi wa kisisa wanaweza kuonyesha mshikamano ili wananchi na wanavyama wajifunze kuwa sisi sote ni watu wa nchi moja.
5---- Tusigombee fito tunajenga TZ moja. Nk.
 
Nenda kwa mbowe anazo ajira kwenye chama, mlamba miguu yake. Pia anazo ajira bonafsi hivyo hutakosa, si lazima uajiriwe na serikari
Usjiangalie wewe binafsi chukulia jambo kwa masilahi ya watu wengne pia huo ndo ubinadamu ubinafsi hauna faida
 
Back
Top Bottom