DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
kaongea uporoto tu. Hakuna lolote la maanaHahaha vipi hotuba ya rais imeahirishwa leo?!
Kenge wewe
Ebu funga makota yako at for once
Na kupata misamiati ya kale!Pameanza kujitokeza tofauti kubwa sana, mtu akisikia leo patakuwa na hotuba ya Mbowe anategemea kitu fulani (madini), na tena, mtu akisikia leo jamaa yetu atahutubia anajiandaa kucheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni nchi ya Jiwe,wengine anawaona kama wakimbizi tu.
Mwambie basi huyo jiwe wako atoke huko vichakani na atuambie vizuri,alitumia mbinu gani kuishinda corona Kama ni kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yupi anayefikiri kutumia "masaburi?" Labda wa dar!tapeli wa taifa, muongo muongo na mnafiki. Inaonekana jinsi alivyoshindwa kumudu uenyekiti wake. Dkt Magufuli si wa kumpinga, ukimpinga tegemea kupata kipigo toka kwa Mungu.
Hukumwona Rais wako kwenye mkusanyiko? Sivai tena Barakoa nikienda TRA kumbe wanatuzuga tu wakati Rais mwenyewe anasema ni upumbavu!Hatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
Kunawakati muwe mnafikiria wanaccm kabla ya kucomment toka 2015 watanzania tunalia hali ngumu ya maisha, biashara zimekufa, watu wameumizwa, hakuna ajira wala nyongeza ya mishahara na wakulima ambao ndo wanyonge kila zao limekuwa shida tupu wakulima wanateseka hali ya maisha yao imekuwa duni sana. Yaani sijui huwa mnawaza kwa kutumia nini?Tumaini la watz ni mwamba magufuli raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huyo mbowe Ni tumaini lenu nyie mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo magufuli ni tumaini la wasaka vyeo na watu kutoka Jamhuri ya watu wa chato lkn wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi wote wamepotezwa mazima miaka yote 5 ya awamu hiiTumaini la watz ni mwamba magufuli raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huyo mbowe Ni tumaini lenu nyie mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunawakati muwe mnafikiria wanaccm kabla ya kucomment toka 2015 watanzania tunalia hali ngumu ya maisha, biashara zimekufa, watu wameumizwa, hakuna ajira wala nyongeza ya mishahara na wakulima ambao ndo wanyonge kila zao limekuwa shida tupu wakulima wanateseka hali ya maisha yao imekuwa duni sana. Yaani sijui huwa mnawaza kwa kutumia nini?
HakikaMbowe ni kaka wa taifa
inatia moyo na ujasiri
Mnaboa sana jaribuni kuwa na logical reasoning sio kila jambo ulihusishe na siasa mie binafsi sifungamani na chama chochote bali penye kusitahiri kusifiwa na kupongeza nafanya hvyo kwa kila chama, wafuasi wa siasa punguzeni unazi bhana angalieni na uhalisia wa mambo yanavyokwendaNenda kwa mbowe anazo ajira kwenye chama, mlamba miguu yake. Pia anazo ajira bonafsi hivyo hutakosa, si lazima uajiriwe na serikari
Isijekuwa teyari ostabei
Angalia picha hii halafu toa maoni yakoView attachment 1452518
Usjiangalie wewe binafsi chukulia jambo kwa masilahi ya watu wengne pia huo ndo ubinadamu ubinafsi hauna faidaNenda kwa mbowe anazo ajira kwenye chama, mlamba miguu yake. Pia anazo ajira bonafsi hivyo hutakosa, si lazima uajiriwe na serikari
Hatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo