Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Kwa kusisitiza wafanyabiashara wa utalii wasaidiwe!? Huoni hapo anapigia debe Protea Hotel?
Nyumbu wana safari ndefu sana kujitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa msemaji wa watanzania Sasa? Tulimchagua tunaona kazi yake na tutamchagua Tena kwa kishindo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho waangamiza wapinzani ni kukubali kuwa vibaraka wa mabeberu,
Watanzania hatutaki kuwa nyumbu!
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na yenye kujipa muda wa kufikiri na kutafakari huwezi kushabikia hasa wanapo ongea watu kama akina mbowe,hv kweli siasa hz za kulaghai watanzania zitaisha lini huwezi kuwa na viongozi kama akina mbowe wanaodanganya wananchi eti wanabadilisha gia angani bila kujali madhara yanayoweza kujitokeza ndani ya chama ili chama hk kibadili mtazamo lzm mbowe atoke kwenye kiti cha uenyekiti la hatutaki basi tutarajie uoga kutamalaki ktk safari ya kuelekea ukombozi wa taifa hili na upinzani kwa ujumla.Ni watoto wa juzi tu ndio wanaweza kuona mbowe ana jipya,lzm wanachama wasikilizwe kwa mustakabali mzr wa chama zaidi ya hapo tusilaumu kwa yanayokuja mbele.Tunakumbuka kuna viongozi waliambiwa kama hawatakubali kumpokea Lowasa basi wajiandae kuondoka chamani wenye busara zao wakaona isiwe taabu tuwaachie wenye chama chao wakaondoka Dr.Slaa ni mmoja wa hao na itachukua decades kupata KATIBU mkuu kama yule,Chadema inahitaji mabadiliko makubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…