G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba.
Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure.
Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama.
Sababu za kumkataa tunazo, nia ya kumkataa tunayo na nguvu kubwa sana ya kumkataa ambayo haitayeyushwa na kitu chochote kile tunayo.
Sisi tujitoe muhanga ili machawa wake na yeye wafaidi? Tumemjua Mbowe baada ya upasuaji aliofanyiwa. Katu hatutarudi nyuma. Pona ya Chadema ni Mbowe ashindwe uchaguzi! Kama kuna watu wanahisi tunatania basi wanachezea moto.