Mbowe sasa aamua kutufungia maombi ya siku moja tuliomkataa

Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba.
Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure.

Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama.

Sababu za kumkataa tunazo, nia ya kumkataa tunayo na nguvu kubwa sana ya kumkataa ambayo haitayeyushwa na kitu chochote kile tunayo.

Sisi tujitoe muhanga ili machawa wake na yeye wafaidi? Tumemjua Mbowe baada ya upasuaji aliofanyiwa. Katu hatutarudi nyuma. Pona ya Chadema ni Mbowe ashindwe uchaguzi! Kama kuna watu wanahisi tunatania basi wanachezea moto.
View attachment 3204631
Huyu mchungaji ni mnufaika wa michezo ya Mbowe?
 
Tatizo ni hapo mtu kujiita Baba yao. Mbowe sio Baba wa mtu yeyote pale
 
Unaelewa maana ya kuinuliwa? Kweli Wafuasi wa lissu mna umbumbumbu mkubwa sana.

Wewe unadhani kibali alichonacho Lissu ni cha kawaida?Huko ndiko kuinuliwa. Sasa anaenda kubwa m/kiti wa CHADEMA taifa kutoka kwenye umakamu mwenyekiti. Je, huko siyo kuinuliwa?
 
Back
Top Bottom