Mbowe sasa kupumua, Cecil Mwambe amwagiwa sifa na Rais Magufuli mkutanoni na kukaribishwa CCM

*148*02#
Chagua namba 1 kisha bonyeza OK
Chagua namba 2 kisha bonyeza Ok
Chagua namba 3.Mwezi bonyeza Ok
Chagua namba 5 Mwezi 95,000 bonyeza Ok

Rudia mara nyingi uwezavyo kisha bonyeza *102*00#

Utakuja nishukuru hapa ni kwa wa teja wa GOTI tu ni REBU
 
Mbowe sasa ana nafasi kubwa ya kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA baada ya mshindani wake Mh Mwambe kutamaniwa na CCM.

Leo kwa mara ya pili Rais Magufuli amesema CCM ilifanya makosa kumuengua Mwambe na matokeo yake wananchi wa Masasi wamekosa maendeleo.

Rais Magufuli amesema moyo wa Cecil Mwambe bado uko CCM na anaweza kuhamia chama tawala hivyo wahafidhina wa chama wasije kumbughuzi kama walivyomfanyia 2015.

Chanzo: TBC

My take: Freeman Mbowe ana bahati ya mtende!
Hapa hoja ya msingi ya kujadiliwa ni kuwa jimbo LA masasi halina maendeleo kwa kuwa mwambe yuko chadema.

Huyu MTU ndo maana wazee wenzie kwenye chama wanamsengenya kwa kumuita kachanganyikiwa na mshamba
 
*148*02#
Chagua namba 1 kisha bonyeza OK
Chagua namba 2 kisha bonyeza Ok
Chagua namba 3.Mwezi bonyeza Ok
Chagua namba 5 Mwezi 95,000 bonyeza Ok

Rudia mara nyingi uwezavyo kisha bonyeza *102*00#

Utakuja nishukuru hapa ni kwa wa teja wa GOTI tu ni REBU
Cheki hapo
IMG_17102019_123312.jpeg
 
Attachments

  • IMG_17102019_123201.jpeg
    IMG_17102019_123201.jpeg
    46.7 KB · Views: 2
Mbowe sasa ana nafasi kubwa ya kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA baada ya mshindani wake Mh Mwambe kutamaniwa na CCM.

Leo kwa mara ya pili Rais Magufuli amesema CCM ilifanya makosa kumuengua Mwambe na matokeo yake wananchi wa Masasi wamekosa maendeleo.

Rais Magufuli amesema moyo wa Cecil Mwambe bado uko CCM na anaweza kuhamia chama tawala hivyo wahafidhina wa chama wasije kumbughuzi kama walivyomfanyia 2015.

Chanzo: TBC

My take: Freeman Mbowe ana bahati ya mtende!
Makachero wabobezi wa chadema walisha mkata miguu kabla, magu na ccm yake wapo karne moja nyuma ya CDM
 
Chadema haiendeshwi kwa mihemko ya chama chenu kibovu
 
Mbowe sasa ana nafasi kubwa ya kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA baada ya mshindani wake Mh Mwambe kutamaniwa na CCM.

Leo kwa mara ya pili Rais Magufuli amesema CCM ilifanya makosa kumuengua Mwambe na matokeo yake wananchi wa Masasi wamekosa maendeleo.

Rais Magufuli amesema moyo wa Cecil Mwambe bado uko CCM na anaweza kuhamia chama tawala hivyo wahafidhina wa chama wasije kumbughuzi kama walivyomfanyia 2015.

Chanzo: TBC

My take: Freeman Mbowe ana bahati ya mtende?
[/QUOTE]
Je maendeleo hayana chama?
 
Maendeleo hayana vyama ila lugha zina vyama!
 
Je una huzuni au furaha? Fafanua
 
Huyu alitumwa na ccm kuja kuvuruga uchaguz, bora akae na jiwe
 
Mbowe sasa ana nafasi kubwa ya kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA baada ya mshindani wake Mh Mwambe kutamaniwa na CCM.

Leo kwa mara ya pili Rais Magufuli amesema CCM ilifanya makosa kumuengua Mwambe na matokeo yake wananchi wa Masasi wamekosa maendeleo.

Rais Magufuli amesema moyo wa Cecil Mwambe bado uko CCM na anaweza kuhamia chama tawala hivyo wahafidhina wa chama wasije kumbughuzi kama walivyomfanyia 2015.

Chanzo: TBC

My take: Freeman Mbowe ana bahati ya mtende!
Jiwe ziara za serikali anafanya siasa, okay atavuna, Mungu ni wa wote.
 
Kama mliweza kumteua mtu agombee urais itashindikana vipi kwa nafasi ndogo ya uenyekiti?
Siku zote naamini wafuasi wa chadema mna uwezo mdogo sana wa kufikiri
Ndio maana mnapinduliwa pinduliwa tu kama chapati
aisee ndio hvo hata sikujua
 
Najua mmeupuuza huu ujumbe..mchana mwema

Back
Top Bottom