Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
- Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
- Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
- Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa Chadema Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa