Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiishie mitandaoni tu grassroots mobilization ni muhimu.Tatizo sio CHADEMA Tatizo ni Raia ni wasio kuwa na akili
ukweli ni kwamba sio wana feli, lengo lao linakuwa limetimia chadema wapo kupima upepo wa kisiasa nchini na kufanya siasa za maigizo na matukio
Na CCM nao wameshapata picha kuwa hata wakiiba kura wanaweza kuwadhibiti CDM bila hata kupiga bomu la machozi.Tatizo sio CHADEMA Tatizo ni Raia ni wasio kuwa na akili
ukweli ni kwamba sio wana feli, lengo lao linakuwa limetimia chadema wapo kupima upepo wa kisiasa nchini na kufanya siasa za maigizo na matukio
Lemq na Mbowe mimi nitalewa MbegeSamia akifa siwezi kulia hata chembe
Marehemu lowassa aliposema ,Elimu,Elimu ,Elimu ndio kimachosumbua uongozi wa cdm kwa sasaWasiishie mitandaoni tu grassroots mobilization ni muhimu.
Kuna kila dalili hata keshi la polisi au CCM hawatatishikq k
Na CCM nao wameshapata picha kuwa hata wakiiba kura wanaweza kuwadhibiti CDM bila hata kupiga bomu la machozi.
Kamati kuu ya CDM haiwezi kuitikisa CCM kwa matamko makali tu ya Mbowe.
Wabadili mbinu.
Akae kimya tu aendelee na mikakati mingine.Habari za maandamano asizungumzie kabisa. Atazidi kuaibika.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Sio Kijana huyo ni mtu mzima aiseeJitambue kijana, serikali ni wewe unayeiunda na inabidi ifanye kazi kwa misingi ya haki. Kutii au kutokutii siyo lazima kila mtu aone ufanyalo wewe sawa. Kutofautiana ni kawaida. Ila kukiwa na uchoyo wa madaraka kama CCM wanvyofanya hapo ndipo nchi inashindwa kutawalika. Mwenye uwezo apewe ridhaa na wananchi siyo nguvu za polisi
Wakubwa ndio wanaopiga hela ndefu. Hao wa D mbili hakuna wanachopata.Polisi kutoka mikoani watazidi kupata per diem Hadi itakapo tangazwa Tena.
Natamani kuwa polisi lakini waniruhusu niazie cheo Cha Naibu kamishna mwandamizi wa polisi SACP.Wakubwa ndio wanaopiga hela ndefu. Hao wa D mbili hakuna wanachopata.
Ndiyo Maana hata ANNUAL INCREMENTS ZA KWENYE SALARY YANGU wametoa et? Tunata Salary increments ni haki ya MfanyakaziPolisi kutoka mikoani watazidi kupata per diem Hadi itakapo tangazwa Tena.
Taratibu mkuu 'Al Watani', haya sasa ni mapambano endelevu hadi hapo hali itakapo badilika.Maandamano ya aina ya waliyofanya wamasai funga morogoro road bagamoyo road na kilwa road siku tatu watawaita kwenye meza ya mazungumzo.
Tatizo CDM wanafanya Siasa kwa vibes tu badala ya strategy they are bound to fail.
Using the same method to fix a problem mara nyingi ni unaaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Using the same method to fix a problem mara nyingi ni unaaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
chadema wameshakaa sana vikao vya sijui vya kamati, mara press conference at the end wanakuja na Samia Must Go, halafu usiku wamanane wanabadili siju eti kupaza sauti ya nini vile 🤣Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Kuna jirani yangu last month aliona increment ya fifty thousand, mwezi huu amepata mshahara ule ule wa June na July na April kushuka chini. Kuna Nini?Ndiyo Maana hata ANNUAL INCREMENTS ZA KWENYE SALARY YANGU wametoa et? Tunata Salary increments ni haki ya Mfanyakazi
kwamba chadema wanakemea mauaji kwa kuchochea maafa zaidi 🐒Using the same method to fix a problem mara nyingi ni unaa
Tlaatlaah Mambo ya CHADEMA huyajui. Stick to your lane.chadema wameshakaa sana vikao vya sijui vya kamati, mara press conference at the end wanakuja na Samia Must Go, halafu usiku wamanane wanabadili siju eti kupaza sauti ya nini vile 🤣
sina haja kubabaika wala kujua mambo ya Chadema hata kidogo gentleman,Tlaatlaah Mambo ya CHADEMA huyajui. Stick to your lane.
Kama ungeipenda nchi kiukweli ungehoji mbona ripoti za CAG hazifanyiwi kazi?
Wauaji wanajichunguza unategenea niniUle uchunguzi wa kifo Cha Ally umefikia wapi?
Maandamano yanayoleta mabadiliko hayapaswi kubeba sura ya matembezi ya hisani.Taratibu mkuu 'Al Watani', haya sasa ni mapambano endelevu hadi hapo hali itakapo badilika.
Bila shaka mapendekezo yako wameyaona CHADEMA na waTanzania wote wapenda amani ndani ya taifa hili.
Mikakati ipo mingi tu ya kupandisha joto haldi hawa wanaojifanya kuwa viziwi watazibua masikio.