Mbowe: Septemba 24, Tutakaa na Viongozi wengine na tutatoa tamko kama tutataendelea na maandamano au laah!

Mbowe: Septemba 24, Tutakaa na Viongozi wengine na tutatoa tamko kama tutataendelea na maandamano au laah!

Hawa dawa yao kwa hii kesi yao ya ukaidi wa maagizo ya serekali basi ni vyema kesi zao zikasikilizwa katika mahakama mbalimbali, mfano, lissu - Kigoma, mbowe - mtwara, lema - Rukwa, kesi zikawa zinapelekwa kila baada ya siku moja,mahakamani.
Hapa tu umeshaonesha umbumbumbu wa sheria.😅😊
 
Huyo DJ asituvurugiye nchi. Eti akamleta na binti yake NICOLE, wakijifanya wana uchungu na nchi hii. Toka lini mchaga akawa na uchungu na maisha ya mtu? Akae kwa kutulia kwanza hana HAIBA ya kuwa kiongozi.
 
Maandamano yanayoleta mabadiliko hayapaswi kubeba sura ya matembezi ya hisani.

Angalia Gen Z walivyoanza Kenya au Maandamano ya Belarus na Thailand hata Singapore yalikuwa yanadisturb mifumo ya kila siku iliyozoeleka.
Hayo yaliyo pangwa na CHADEMA na kuzuiwa hayakuwa na malengo ya aina hiyo mifano uliyo tumia hapa.

Hayo yatakuja, na hayahitaji kalenda na program ya kuyatimiza.
 
Back
Top Bottom