Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Jitambue kijana, serikali ni wewe unayeiunda na inabidi ifanye kazi kwa misingi ya haki. Kutii au kutokutii siyo lazima kila mtu aone ufanyalo wewe sawa. Kutofautiana ni kawaida. Ila kukiwa na uchoyo wa madaraka kama CCM wanvyofanya hapo ndipo nchi inashindwa kutawalika. Mwenye uwezo apewe ridhaa na wananchi siyo nguvu za polisiHawa dawa yao kwa hii kesi yao ya ukaidi wa maagizo ya serekali basi ni vyema kesi zao zikasikilizwa katika mahakama mbalimbali, mfano, lissu - Kigoma, mbowe - mtwara, lema - Rukwa, kesi zikawa zinapelekwa kila baada ya siku moja,mahakamani.
Mapambano bado yanaendelea heko mashujaa wetu mmeonesha kuwa mnasimamia kile mbachosema.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Playing with timebomb is a very terrifying game...!!!Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Haki ya maandamano haipoJitambue kijana, serikali ni wewe unayeiunda na inabidi ifanye kazi kwa misingi ya haki. Kutii au kutokutii siyo lazima kila mtu aone ufanyalo wewe sawa. Kutofautiana ni kawaida. Ila kukiwa na uchoyo wa madaraka kama CCM wanvyofanya hapo ndipo nchi inashindwa kutawalika. Mwenye uwezo apewe ridhaa na wananchi siyo nguvu za polisi
Playing with timebomb is a very terrifying game...!!!Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
Maandamano ya aina ya waliyofanya wamasai funga morogoro road bagamoyo road na kilwa road siku tatu watawaita kwenye meza ya mazungumzo.Sijui kama kuna njia mbadala ya kuendelea.
Serikali wamedharau; hata kule kujibu tu waTanzania waliotekwa na kupotezwa wapo wapi; sasa nyinyi kama chama mtaweza vipi kujiondoa kwenye swala kama hilo?
Ni njia ipi nyingine ambayo mtapewa majibu na hiyo serikali inayo wadharau nyinyi na waTanzania wote!
Fikiria gari la mafuta linalipuka, wajinga wanashangilia na kuanza kutafuta chochote (doom, debe au ndoo) wakikimbilia eneo hilo. Fools rush in where wise men never go.Playing with timebomb is a very terrifying game...!!!
Wakifululiza hivyo for weeks hata polisi watachoka piaPolisi kutoka mikoani watazidi kupata per diem Hadi itakapo tangazwa Tena.
Bora ungekaa kimya laiti ungekuwa umempoteza kaka Yako wa damu Katika utekaji uliofanyika usingeandika hivyo.Hawa dawa yao kwa hii kesi yao ya ukaidi wa maagizo ya serekali basi ni vyema kesi zao zikasikilizwa katika mahakama mbalimbali, mfano, lissu - Kigoma, mbowe - mtwara, lema - Rukwa, kesi zikawa zinapelekwa kila baada ya siku moja,mahakamani.
Naamini Serikali itatatua changamoto ya utekaji na mauaji.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi.
Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema ifikapo siku ya jumanne ya september 24, 2024 watakaa na Viongozi wengine na watatoa tamko kama wataendelea na maandamano au laah
Soma Pia:
.....Tatizo CDM wanafanya Siasa kwa vibes tu badala ya strategy they are bound to fail.