Mbowe: Septemba 24, Tutakaa na Viongozi wengine na tutatoa tamko kama tutataendelea na maandamano au laah!

Tatizo sio CHADEMA Tatizo ni Raia ni wasio kuwa na akili

ukweli ni kwamba sio wana feli, lengo lao linakuwa limetimia chadema wapo kupima upepo wa kisiasa nchini na kufanya siasa za maigizo na matukio
Wasiishie mitandaoni tu grassroots mobilization ni muhimu.

Kuna kila dalili hata keshi la polisi au CCM hawatatishikq k
Tatizo sio CHADEMA Tatizo ni Raia ni wasio kuwa na akili

ukweli ni kwamba sio wana feli, lengo lao linakuwa limetimia chadema wapo kupima upepo wa kisiasa nchini na kufanya siasa za maigizo na matukio
Na CCM nao wameshapata picha kuwa hata wakiiba kura wanaweza kuwadhibiti CDM bila hata kupiga bomu la machozi.

Kamati kuu ya CDM haiwezi kuitikisa CCM kwa matamko makali tu ya Mbowe.

Wabadili mbinu.
 
Marehemu lowassa aliposema ,Elimu,Elimu ,Elimu ndio kimachosumbua uongozi wa cdm kwa sasa
 
Akae kimya tu aendelee na mikakati mingine.Habari za maandamano asizungumzie kabisa. Atazidi kuaibika.
 
Sio Kijana huyo ni mtu mzima aisee
 
Maandamano ya aina ya waliyofanya wamasai funga morogoro road bagamoyo road na kilwa road siku tatu watawaita kwenye meza ya mazungumzo.

Tatizo CDM wanafanya Siasa kwa vibes tu badala ya strategy they are bound to fail.
Taratibu mkuu 'Al Watani', haya sasa ni mapambano endelevu hadi hapo hali itakapo badilika.

Bila shaka mapendekezo yako wameyaona CHADEMA na waTanzania wote wapenda amani ndani ya taifa hili.
Mikakati ipo mingi tu ya kupandisha joto haldi hawa wanaojifanya kuwa viziwi watazibua masikio.
 
Using the same method to fix a problem mara nyingi ni unaa
 
Using the same method to fix a problem mara nyingi ni unaa
 
chadema wameshakaa sana vikao vya sijui vya kamati, mara press conference at the end wanakuja na Samia Must Go, halafu usiku wamanane wanabadili siju eti kupaza sauti ya nini vile 🤣
 
Ndiyo Maana hata ANNUAL INCREMENTS ZA KWENYE SALARY YANGU wametoa et? Tunata Salary increments ni haki ya Mfanyakazi
Kuna jirani yangu last month aliona increment ya fifty thousand, mwezi huu amepata mshahara ule ule wa June na July na April kushuka chini. Kuna Nini?
 
chadema wameshakaa sana vikao vya sijui vya kamati, mara press conference at the end wanakuja na Samia Must Go, halafu usiku wamanane wanabadili siju eti kupaza sauti ya nini vile 🤣
Tlaatlaah Mambo ya CHADEMA huyajui. Stick to your lane.
Kama ungeipenda nchi kiukweli ungehoji mbona ripoti za CAG hazifanyiwi kazi?
 
Tlaatlaah Mambo ya CHADEMA huyajui. Stick to your lane.
Kama ungeipenda nchi kiukweli ungehoji mbona ripoti za CAG hazifanyiwi kazi?
sina haja kubabaika wala kujua mambo ya Chadema hata kidogo gentleman,
ila nayafahamu vizuri sana aise 🤣

hayo mengine ni muhimu ukaandikia uzi tuone maelezo yako yanasemaje na tutakueleza usichokijua..🐒
 
Maandamano yanayoleta mabadiliko hayapaswi kubeba sura ya matembezi ya hisani.

Angalia Gen Z walivyoanza Kenya au Maandamano ya Belarus na Thailand hata Singapore yalikuwa yanadisturb mifumo ya kila siku iliyozoeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…