Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Mbona kama haamini haamini ivi....ila Mchaga akiona ulaji unaondoka yani lazima apate wenge flan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama haamini haamini ivi....ila Mchaga akiona ulaji unaondoka yani lazima apate wenge flan
Hapo unakuta wamo wajumbe wenye umri mdogo chini ya miaka 30 lakini mbowe mwenye zaidi ya miaka 60 amewasalimia hao madogo.
Wajumbe lazima waheshimiwe maana wakikugeuka utalia kilio cha kusaga meno.
asali ya mama nayo imechangia kuuharibu ufahamu wa huyu mzeeMtu kama uenyekiti wa Chama anang'ang'ania madaraka kiasi hiki mpaka kujitoa ufahamu?
Je,Akipewa nchi akaongoza?! Mbowe ni zaidi ya Mugabe.
Mtamuua kwa presha huyu mzee amepagawa si mchezo
Kanywa nyagi bila kulaFAM mbona uso wake unaonekana tuu unepoteza nuru inaonekana kuna kitu hakipo Sawa.
😄😄😄💯Tulikuwa tunadanganywa kwamba ana biasha nyingi kumbe ilikuwa uongo biashara zake ni chama hivi angekuwa na biashara angekubali kuzalilika kiasi hiki
Trh 22 haipo mbali,Maji ya shingo..,.anataka kuwalaghai wajumbe
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka mpaka kamasi
Jitu rinaropenda kuchaguriwa hata kama rimeshindwa uchaguzi rinataka tu kuchaguriwa
Biashara ni kweli anazo huo sio Uongo, na ametokea kwenye ukoo wa kitajiri.Tulikuwa tunadanganywa kwamba ana biasha nyingi kumbe ilikuwa uongo biashara zake ni chama hivi angekuwa na biashara angekubali kuzalilika kiasi hiki
Nasikia mwamba anapiga sana JibapaItakuwa alishapiga "Nyagi"....
Mbowe hayupo sawa, ni kama he has already sensed the defeat ila anakomaa na tai shingoniKwanza mwamba anaonekana yuko chakariii, mpaka anashindwa kufungua macho vizuri..
View attachment 3207714