Mbowe: Shikamoo Wajumbe

Mbowe: Shikamoo Wajumbe

Mbowe amechanganyikiwa 😂

View attachment 3207702
Hapo unakuta wamo wajumbe wenye umri mdogo chini ya miaka 30 lakini mbowe mwenye zaidi ya miaka 60 amewasalimia hao madogo.

Uchaguzi huwa unawatetemesha wagombea lakini wakishinda wanawabadilikia wale waliowapigia kura. Wengine walikuwa wanapiga push up majukwaani.
 
Ndugu Wajumbe,kama mnataka chama chetu KIPUUZWE kama CUF ya Lipumba basi mchagueni Mbowe, lakini kama mnataka CHADEMA kipendwe zaidi na Wananchi na kuaminiwa na kupewa DHAMANA ya kuchukua Dola basi tuleteeni TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU.

Tazameni Propessa Lipumba ALIVYOPUUZWA na WANANCHI ndiko Mbowe anakoelekea.
GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg
 
Siasa ya bongo ina vituko sana, japokuwa unafiki ndio silaha kubwa. Hapo malienge kawasalimia wajumbe kinafiki sana.

Na matokeo ya uenyekiti wa chama yakitoka itakua vice versa, maana faulo itakayochezwa hapo kumnyoa tundu lisu ni siri ya malienge.
 
Tulikuwa tunadanganywa kwamba ana biasha nyingi kumbe ilikuwa uongo biashara zake ni chama hivi angekuwa na biashara angekubali kuzalilika kiasi hiki
Biashara ni kweli anazo huo sio Uongo, na ametokea kwenye ukoo wa kitajiri.
 
Duh aiseee 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom