Mbowe: Shikamoo Wajumbe

Mbowe: Shikamoo Wajumbe

Demokrasia ngumu Sana.
Ni ngumu sana kwa waovu na wapenda njia za mkato, njia za dhuluma, njia zisizo haki ktk kuyafikia malengo yao...

Laini demkrasia ni tamu sana, isiyochosha akili, roho na mwili kwa wenye haki, wafuata njia sahihi, zisizo na dhuluma na zenye haki ktk kuyafikia malengo yao...

Ni rahisi tu kwa namna hiyo..
 
Mwenyekiti wa Chadema alipotambulishwa mbele ya Baraza Kuu na katibu mkuu mh Mnyika alisimama na kuwaamkia Wajumbe
Mbowe: Shikamoo Wajumbe

Chadema imeelekezwa kibra na TAL dadeki 😂😂

Sisi CCM tunarekodi Kila sentenso

Mlale Unono

Mwenyekiti wa Chadema alipotambulishwa mbele ya Baraza Kuu na katibu mkuu mh Mnyika alisimama na kuwaamkia Wajumbe
Mbowe: Shikamoo Wajumbe

Chadema imeelekezwa kibra na TAL dadeki 😂😂

Sisi CCM tunarekodi Kila sentenso

Mlale Unono 😀🌹
Alichofanya ni jokes so as to release tension kwa wajumbe kuwa chairman ataongea zaidi baada ya kutambulishwa
 
Mkumbuke bila Milioni 250 za Mbowe msingeweza kufanya huo mkutano hapo mlimani city
 
chapombe mboye bwana
utafikiri mgonjwa wa sickle cell
kanyauka ghafla, anafanana na stress
nzi anafia kwenye kidonda
 
Back
Top Bottom