Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Acha ujinga. Mimi siwezi kuwa CCMWewe ni CCM KINDAKINDAKI
Hiyo itakuwa Debate au Debacle?Ningeomba debate ya January Makamba, Nape Nauye, John Heche na Msigwa wakiongea kwenye National Television misimamo yao na vyama vyao kwa miaka mitano ijayo katika kumuendeleza mtanzania kwa kupitia katiba na tume ya uchaguzi.
You can say that again 😂😂😂Hiyo itakuwa Debate au Debacle?
Naunga mkono hoja.
Si wapinzani tu, kwa ujumla Tanzania hakuna mwanasiasa mkweli. Wote, watawala na hawa wengine wanatembelea kwenye ujinga wetu. Ndio sababu wanafanya mambo ya hovyo bila hofu.Tanzania hakuna wapinzani wa kweli ndio maana ccm inaendelea kutawala.
Hatuna kiongozi wa kweli Chadema isipokuwa Freeman Mbowe basi!Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Ngoja aje TINDO lithu😅😅😁You can say that again 😂😂😂
Ndi Demokrasia. Piiiiipoz paawa!Hatuna kiongozi wa kweli Chadema isipokuwa Freeman Mbowe basi!
Yakifanyika haya inamaana marupu rupu ya kustaafu hayatakuwa na maana tena. Hii minofu wanayopata wakubwa kama zawadi ya kuilinda CCM ibaki madarakani ni mikubwa sana.Udikteta?
Food for thought.
Pamoja na kutawala nchi na siasa za Tanzania kwa miaka hamsini na, Wenyeviti wa CCM wameshabadilishwa na wamebadilika kwa Kura za Wananchi na wnachama wake.
CCM inahitaji Demokrasia ndani yake, kama CHADEMA invyohitaji.
...wapo teyari.? Wana CHADEMA wanaburuzwa sana kuliko wana CCM
Ondoa unafiki wako hapa. M yuviccm mkubwa wewe.Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Kwani ni lazima uendelee kuwa Chadema? Anzisha chama chako au jiunge na ZittoUnadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Mbowe can never be shaken by few hypocrite conmens.Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Nape hataweza hiyo debateNingeomba debate ya January Makamba, Nape Nauye, John Heche na Msigwa wakiongea kwenye National Television misimamo yao na vyama vyao kwa miaka mitano ijayo katika kumuendeleza mtanzania kwa kupitia katiba na tume ya uchaguzi.
Na wewe anzisha cha kwako.Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?