Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

Chama cha demokrasia na maendeleo ambacho hakina demokrasia wala maendeleo hakina ukweli na uwazi mali z chama zinapotea no trasition of power
Utakutana na watu watano wanamsaliti mtu mmoja ikiwa mtu anashindwa demokrasia ndani ya chama chake ataweza demoKrasia ya nchi kipindi hicho jeshi lipo chini yake polisi wapo chini yake wizara zote zipo chini yake
So sad kama mali za chama chake anatumia na analazimisha kuzitumia kwa maslah yake kila mwaka vipi tumpe nchi
Cdm they have a long way to go before they know that they are not on right path
 
Mwenyekiti WA kudumu ni mwenzetu hasa,kamwe asiwaachie chama
 
Ningeomba debate ya January Makamba, Nape Nauye, John Heche na Msigwa wakiongea kwenye National Television misimamo yao na vyama vyao kwa miaka mitano ijayo katika kumuendeleza mtanzania kwa kupitia katiba na tume ya uchaguzi.
Nape na January wakitokea nahamia Burundi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Hizi hasira ulizonazo Kwa mbowe ungexielekeza Kwa ccm
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mpinzani wakweli umesaidia Nini hii nchi mpaka Sasa?? Kwani upinzani nichadema tuu siuingie kwingine au uanzishe Chama wewe mpinzani wakweli😁😁😁😁
 
Mzee wa "kunja ngumi".

CCM haitishwi na kukunja ngumi kwenye mikutano ya hadhara.

CCM inatishwa na mass action ambayo unfortunately Mbowe huwa anaidhibiti joto likianza kupanda
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Jaribu kua mkweli kwa nafsi yako, Hivi kweli tanzania hii unaweza kumtoa MBOWE kwenye orodha ya wapinzania wa kweli?
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Mpinzani wa kweli, anzisha chama cha upinzani wa kweli uwaonyeshe njia waTanganyika. JF hufiki mbali.
 
Chadema ni kampuni sio chama cha siasa,image ni chama cha demokrasia lakini mwenyekiti hangatuki zaidi ya miaka 30 na haambiliki,Je siku chadema wanashika nchi watakuwa mara saba ya ccm?..Tanzania hakuna wapinzani wa kweli ndio maana ccm inaendelea kutawala..Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mwanachama wa chadema...

Kwani huko chadema hawajawahi fanya uchaguzi wa mwenyekiti?
 
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mpinzani wakweli umesaidia Nini hii nchi mpaka Sasa?? Kwani upinzani nichadema tuu siuingie kwingine au uanzishe Chama wewe mpinzani wakweli😁😁😁😁
Pointless
 
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mpinzani wakweli umesaidia Nini hii nchi mpaka Sasa?? Kwani upinzani nichadema tuu siuingie kwingine au uanzishe Chama wewe mpinzani wakweli😁😁😁😁
Pointless
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Acha kujidanganya...Chadema ni private property na hakuna anayeweza kumfanya Mbowe chochote...sana sana mtafukuzwa mkaanzishe vyama vyenu.

Hizi siasa mnajaribu kufanya za kumtoa Mbowe alijaribu Zito miaka 10 iliyopita, mkamfanyia mizengwe na kumfukuza na majina ya usaliti mkampatia...muda si mrefu mkiendelea nanyi mtaitwa wasaliti na kufukuzwa!
 
Back
Top Bottom