Yule yule mtuhumiwa wa ufisadi katika sakata la Richmond, ndugu Nazir Kalamagi last week alikwenda azania akitaka eti aweke mapesa yake aliyoiba na kuleta majina ya watu ambae yeye angetaka wakopeshwe fedha hizo kupitia benk. Kutokana na uzalendo wa mgt ya benki hiyo walikataa katu kufanya kitendo hicho cha kiibia taifa letu kwa njia za kiinimacho. Ndipo fedhuli huyu alipoondoka kwa aibu huku akilaani kitendo cha kutoswa.
Duu!!! Kama ni ya kweli hayo basi hiyo Banki ya Azania inabidi ipongezwe kwa nguvu zote. na inabidi iwe mfano wa kuigwa na benki zingine kwani benki zote zingekuwa makini na kuzikataa hizo hela za mafisadi tusingefikia hapa tulipo!