Mbowe, Slaa, Zitto kulipua bomu Mwanza

Duu!!! Kama ni ya kweli hayo basi hiyo Banki ya Azania inabidi ipongezwe kwa nguvu zote. na inabidi iwe mfano wa kuigwa na benki zingine kwani benki zote zingekuwa makini na kuzikataa hizo hela za mafisadi tusingefikia hapa tulipo!
 
Mkuu
Tunashukuru kwa news hizi nzuri hawa viongozi wa Azania inabidi wapongezwe swana kwa kupambana na ufisadi.............ila angeenda CRDB au NBC kisima cha mafisadi sijui kama wangezitosa hizo fweza....
 
fidel80

Sijajua hebu hizi bank CRDB,NBC kuna mikono ya akina nani, kwani naona kuna kila dalili kuwa kuna miongoni mwa mafisadi wanahodhi hisa ndani ya mabenk haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…