Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

Na yeye anataka abaki sababu hana njaa!πŸ˜‚
 
This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem attack happens when someone does not address the points raised, but focuses on attacking the person raising the points.
 
Kuanzia sasa itabidi mpaka nisikilize video clip mtu aliongea nini, leo nimegunduwa upotoshaji mkubwa na wa makusudi unaofanywa na member wajinga wajinga wa JF.
Nimeshtushwa na hiyo kauli mkuu, je, ni kweli ama si kweli

Maana umesema umeangalia interview yote lakini hujakanusha hiyo kauli moja kwa moja
 
Daaah nani kamloga mwenyekiti
 
Nampa taarifa kuwa Lema ataongea saa 5 na Maigwa ataongea ma vyombo vya habari soon.
Hapa patamu sasa
 
wanamchosha kila siku press na siku zimebaki nne
 
wanamchosha kila siku press na siku zimebaki nne
 
Haahaa kama kasema kweli hayo akalee wajukuu kashachoka.Mbowe anazidi kupotea
 
Unamaanisha sisi hatujasikiliza?
 
Mhmmmm....lete ushahidi wenyekiti kafika huko!???
Umeshawahi kuhudhuria mihadhara ya kina mazinge?

Ndio huyu mleta mada, kwenye Biblia Yesu alikuwa anakwenda kwenye masinagogi kama ilivyo desturi yake Mazinge anakwambia simama hapohapo.....

Sinagogi ni nini? Majibu ni msikiti wa Wayahudi, swali msikitini wanaenda watu gani? Jibu waislamuuuu

Mazinge: kwahiyo Yesu alikuwa mwislamu, msilimishe huyoo.

Hii ndio mikato anaileta aliyeanzisha hii thread bahati nzuri leo nipo home nimeangalia interview yote.

Mbowe ameongea mambo makubwa sana kwenye interview mpaka ya Lowasa aliletwa Chadema na Gwajima na Dr Slaa.

Lisu ameshiriki vikao vyote vya Mboww kuleta mrejesho kutoka kwa Rais.

Lisu kikatiba ndio mkuu wa nidhamu ndani ya chama ana mamlaka ya kumuagiza katibu mkuu abcd.

Tuhuma za nidhamu na rushwa zipo chini ya Lisu kikatiba na ana mamlaka yote.

Siyo vikao vyote anaendesha Mbowe hata Lisu huwa anaendesha vikao mpaka kikao cha mwisho cha kamati kuu kaendesha Lisu.
 
Mbowe ndio ana Njaa Kali sana YEYE na Yeriko Nyerere πŸ˜‚

Ukiona MTU mzima anaishi Kwa Jina la Baba yake Ujue ana Njaa iliyopitiliza

Huwa nawakubali Dr Mwigullu PhD na Kafulila aka Tumblr Kwa sababu husimama Kwa miguu yao Wenyewe 🐼
Mbowe ndiye mwenye njaa zaidi, kutwa kuzurura Ikulu
 
Hatimaye kasema ukweli!
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜­
 
Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
Mwenyekiti hana maarifa huyu na ni mpumbavu maana heri angekua mjinga
 
Kumbe huyo mzee nae dishi limepeta kutu eeh!!! Sasa kama yeye kashiba si angetoka kistaarabu kwa kujiuzulu?
 
This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem attack happens when someone does not address the points raised, but focuses on attacking the person raising the points.
morning trumpet kinarushwa na redio gani?
 
Kwamba Mbowe ni genius? Duuh hakika tutatofautiana sana uelewa
 
Mkuu tulpia clip hiyo kabla watu hawaja anza kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…