Mhmmmm....lete ushahidi wenyekiti kafika huko!???
Umeshawahi kuhudhuria mihadhara ya kina mazinge?
Ndio huyu mleta mada, kwenye Biblia Yesu alikuwa anakwenda kwenye masinagogi kama ilivyo desturi yake Mazinge anakwambia simama hapohapo.....
Sinagogi ni nini? Majibu ni msikiti wa Wayahudi, swali msikitini wanaenda watu gani? Jibu waislamuuuu
Mazinge: kwahiyo Yesu alikuwa mwislamu, msilimishe huyoo.
Hii ndio mikato anaileta aliyeanzisha hii thread bahati nzuri leo nipo home nimeangalia interview yote.
Mbowe ameongea mambo makubwa sana kwenye interview mpaka ya Lowasa aliletwa Chadema na Gwajima na Dr Slaa.
Lisu ameshiriki vikao vyote vya Mboww kuleta mrejesho kutoka kwa Rais.
Lisu kikatiba ndio mkuu wa nidhamu ndani ya chama ana mamlaka ya kumuagiza katibu mkuu abcd.
Tuhuma za nidhamu na rushwa zipo chini ya Lisu kikatiba na ana mamlaka yote.
Siyo vikao vyote anaendesha Mbowe hata Lisu huwa anaendesha vikao mpaka kikao cha mwisho cha kamati kuu kaendesha Lisu.