tena ya kipumbavu sana. Lissu na Heche wako kwenye position ya kupewa hela nyingi na ma-CCM ili wahamie kwao ila wamegoma so sababi ya mbowe ni ya kipumbavu square tena kwa mtu ya kaliba yake kuitoaMbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
Kwisha mbowe, sasa amesahau katiba ya chama chake alichokiasisi amieweka wapi? kumbe Mbowe ana shida kweli mahali, izo nafasi kugombani si zipo kikatiba? kwanini leo katiba anaiweka nyuma anakuja na maneno ya kushindwa kiasi hiki., amejengewa hoja sana alipotoka jela kabadilika kwanini hajikiti kujibu hizo tuhuma? mambo ya Ikulu sasa ni wakati wake kufunguka kwanini hafunguki kukinusuru chama?===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Umemsikia Mbowe alichoongea?tena ya kipumbavu sana. Lissu na Heche wako kwenye position ya kupewa hela nyingi na ma-CCM ili wahamie kwao ila wamegoma so sababi ya mbowe ni ya kipumbavu square tena kwa mtu ya kaliba yake kuitoa
ElimuKwisha mbowe, sasa amesahau katiba ya chama chake alichokiasisi amieweka wapi? kumbe Mbowe ana shida kweli mahali, izo nafasi kugombani si zipo kikatiba? kwanini leo katiba anaiweka nyuma anakuja na maneno ya kushindwa kiasi hiki., amejengewa hoja sana alipotoka jela kabadilika kwanini hajikiti kujibu hizo tuhuma? mambo ya Ikulu sasa ni wakati wake kufunguka kwanini hafunguki kukinusuru chama?
===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Kasema mwenyeweNyinyi ndio Mbowe amewaongelea leo AI kazi yenu kubwa ni kuleta taharuki kwenye jamii, watu 10 post 1000.
Mwenyekiti wa nidhamu kamwe hawezi akasikisiza kesi mwenyewe tofauti na kuagizwa na kamati kuuElimu
Elimu
Elimu
Hoja zote amezijibu na Lisu ameshiriki vikao vyote vya kamati kuu.
Mbowe alifuatwa jela na maaskofu na Mufti kupewa ujumbe wa Rais gerezani.
Katiba ya Chadema, makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, huyo Lisu ameshindwa vipi kuchukuwa hatua na kuja kuropoka mitaani kama amerukwa na na akili wakati yeye ndio mkuu wa nidhamu?
Hadi anamsujidia yule kinda Abdul, aibu kubwa sana hii.Mbowe ndiye mwenye njaa zaidi, kutwa kuzurura Ikulu
Kwa hiyo Freeman asitumie jina la Mbowe ,cripes that's not hilarious it's stupidity.Mbowe ndio ana Njaa Kali sana YEYE na Yeriko Nyerere 😂
Ukiona MTU mzima anaishi Kwa Jina la Baba yake Ujue ana Njaa iliyopitiliza
Huwa nawakubali Dr Mwigullu PhD na Kafulila aka Tumblr Kwa sababu husimama Kwa miguu yao Wenyewe 🐼
Chama kilianzishwa na Baba mkwe wake (Mtei) pengine ndo sababuHuyu jamaa ilikuaje kuaje akawa Mwenyekiti 🤣
Ukweli ni kwamba dhambi ya Mbowe kutusaliti itaondoka naye daima.Hadi anamsujidia yule kinda Abdul, aibu kubwa sana hii.
Ubunge hatuna,biashara hatuna kilichobaki ni mpango wa mapindizi.Tuna familia unadhani tutaishi vipi===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Na leo Lemma anapiga za chembe hadi acheue hizo b12,sikujua kuwa Bowe ni mpuuzi wa kiwango hiki.Ukweli ni kwamba dhambi ya Mbowe kutusaliti itaondoka naye daima.
Ashukuriwe Mungu kutupa hawa mashujaa watatu
Lissu
Heche
Lema
Ndio maana tunasema Mbowe kachoka, haaminiki tena, uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo umeporomoka sana.Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
unasema Mbowe ana njaa au umekosea kuandika?Mbowe ndio ana Njaa Kali sana
Na ndiyo project ya CCM kumpa b12 ili awe mwenyekiti na Chadema iwe mandemba kama CUF au TLP.Ndio maana tunasema Mbowe kachoka, haaminiki tena, uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo umeporomoka sana.
Bila kumwondoa CHADEMA itakuwa kama TLP au UDP
Kwa kiongozi ambae amemaliza miongo miwili kwenye uongozi huwa anaendeleza kile alichokiasisi wakati wa uongozi wake ambacho kinapigiwa kelele na anaowaongoza kuwa kinawapeleka kusiko julikana yaani anakuwa hana jipyaHebu mhurumieni Mbowe.
Kwani kwenye hayo maongezi yake na wanahabari kila kukicha, huwa hasemi vipaumbele vyake endapo atakabidhiwa mitano tena?
Naona mnachagua zile futuhi zake na kuzimwaga mitandaoni
Tupeni japo hata point moja ya msingi anayowaahidi wanaCHADEMA
Swali;Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.