Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
tena ya kipumbavu sana. Lissu na Heche wako kwenye position ya kupewa hela nyingi na ma-CCM ili wahamie kwao ila wamegoma so sababi ya mbowe ni ya kipumbavu square tena kwa mtu ya kaliba yake kuitoa
 
===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.

Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.

===
Kwisha mbowe, sasa amesahau katiba ya chama chake alichokiasisi amieweka wapi? kumbe Mbowe ana shida kweli mahali, izo nafasi kugombani si zipo kikatiba? kwanini leo katiba anaiweka nyuma anakuja na maneno ya kushindwa kiasi hiki., amejengewa hoja sana alipotoka jela kabadilika kwanini hajikiti kujibu hizo tuhuma? mambo ya Ikulu sasa ni wakati wake kufunguka kwanini hafunguki kukinusuru chama?
 
Umemsikia Mbowe alichoongea?

Leo nataka kujuwa kama JF ni home of great thinkers au stinkers?
 
Kwisha mbowe, sasa amesahau katiba ya chama chake alichokiasisi amieweka wapi? kumbe Mbowe ana shida kweli mahali, izo nafasi kugombani si zipo kikatiba? kwanini leo katiba anaiweka nyuma anakuja na maneno ya kushindwa kiasi hiki., amejengewa hoja sana alipotoka jela kabadilika kwanini hajikiti kujibu hizo tuhuma? mambo ya Ikulu sasa ni wakati wake kufunguka kwanini hafunguki kukinusuru chama?
Elimu
Elimu
Elimu

Hoja zote amezijibu na Lisu ameshiriki vikao vyote vya kamati kuu.

Mbowe alifuatwa jela na maaskofu na Mufti kupewa ujumbe wa Rais gerezani.

Katiba ya Chadema, makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, huyo Lisu ameshindwa vipi kuchukuwa hatua na kuja kuropoka mitaani kama amerukwa na na akili wakati yeye ndio mkuu wa nidhamu?
 
===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.

Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.

===
 
Attachments

  • Screenshot_20250112-141523_1.jpg
    Screenshot_20250112-141523_1.jpg
    202.2 KB · Views: 1
Elimu
Elimu
Elimu

Hoja zote amezijibu na Lisu ameshiriki vikao vyote vya kamati kuu.

Mbowe alifuatwa jela na maaskofu na Mufti kupewa ujumbe wa Rais gerezani.

Katiba ya Chadema, makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, huyo Lisu ameshindwa vipi kuchukuwa hatua na kuja kuropoka mitaani kama amerukwa na na akili wakati yeye ndio mkuu wa nidhamu?
Mwenyekiti wa nidhamu kamwe hawezi akasikisiza kesi mwenyewe tofauti na kuagizwa na kamati kuu

Kufwatwa gerezani na viongozi wa dini ndio iwe sababu ya kuwachenga wenzake kuonana na rais

Wenzake wanamsubili kisutu kumbe MWAMBA yupo ikulu
 
Mbowe ndio ana Njaa Kali sana YEYE na Yeriko Nyerere 😂

Ukiona MTU mzima anaishi Kwa Jina la Baba yake Ujue ana Njaa iliyopitiliza

Huwa nawakubali Dr Mwigullu PhD na Kafulila aka Tumblr Kwa sababu husimama Kwa miguu yao Wenyewe 🐼
Kwa hiyo Freeman asitumie jina la Mbowe ,cripes that's not hilarious it's stupidity.
Mwigulu alipoondolewa uwaziri na Magufuli ulimuona wapi akisimama na miguu yake na Singida B Stars ilikuwepo ? Hujui hiyo miguu kaota baada ya uwaziri wa Samia na huhitaji PhD ya falsafa kujua ukwasi wake umetoka wapi.
 
===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.

Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.

===
Ubunge hatuna,biashara hatuna kilichobaki ni mpango wa mapindizi.Tuna familia unadhani tutaishi vipi
 
Ukweli ni kwamba dhambi ya Mbowe kutusaliti itaondoka naye daima.
Ashukuriwe Mungu kutupa hawa mashujaa watatu
Lissu
Heche
Lema
Na leo Lemma anapiga za chembe hadi acheue hizo b12,sikujua kuwa Bowe ni mpuuzi wa kiwango hiki.
 
Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
Ndio maana tunasema Mbowe kachoka, haaminiki tena, uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo umeporomoka sana.
Bila kumwondoa CHADEMA itakuwa kama TLP au UDP
 
Kumbe nafasi ya wenyekiti ina maslahi esp ukiwa na njaa.
 
Ndio maana tunasema Mbowe kachoka, haaminiki tena, uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo umeporomoka sana.
Bila kumwondoa CHADEMA itakuwa kama TLP au UDP
Na ndiyo project ya CCM kumpa b12 ili awe mwenyekiti na Chadema iwe mandemba kama CUF au TLP.
 
Hebu mhurumieni Mbowe.
Kwani kwenye hayo maongezi yake na wanahabari kila kukicha, huwa hasemi vipaumbele vyake endapo atakabidhiwa mitano tena?

Naona mnachagua zile futuhi zake na kuzimwaga mitandaoni

Tupeni japo hata point moja ya msingi anayowaahidi wanaCHADEMA
Kwa kiongozi ambae amemaliza miongo miwili kwenye uongozi huwa anaendeleza kile alichokiasisi wakati wa uongozi wake ambacho kinapigiwa kelele na anaowaongoza kuwa kinawapeleka kusiko julikana yaani anakuwa hana jipya
 
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
Swali;
  1. Abdul alipeleka nini?
  2. Je yeye Mwenyekiti tatizo lake ni nini?
 
Back
Top Bottom