Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

Hivi unajua utaratibu wa kulipa Kodi na Aina za Kodi
Unadhani hizo bidhaa wanazouza mitandaoni wanazitoa wapi na hazijalipia Kodi ?
 
Hivi unajua utaratibu wa kulipa Kodi na Aina za Kodi
Unadhani hizo bidhaa wanazouza mitandaoni wanazitoa wapi na hazijalipia Kodi ?
Wanauza Huduma yaani contents zao na pia platform zao Zinatumika kufanya matangazo ya biashara,walipe Kodi.
 
Hao wahadhiri naona wako vizuri kinadharia zaidi
Pengine hawajawahi kufungua hata kioski zaidi ya kusoma na kukariri mavitabu makubwa ya uchumi

Hivi wanajua hizo bidhaa zinauzwa mitandaoni zinatoka wapi au wanafikiri zinadownlodia tu online
Na huko zilikotoka ziliingia nchini bila Kodi ?
Hivi wanafamu Kati ya muuzaji mfanyabiashara mkubwa wa Kati machinga
Na mnunuaji wa mwisho (consumer) Nani anayelipia Kodi zote hizo

Pamoja na kwamba Mbowe Ni mwanasiasa lakini pia Ni mfanyabiashara wa miaka zaidi 30, kwa hiyo anaongelea uzoefu siyo nadharia ya kukariri
 
Wanauza Huduma yaani contents zao na pia platform zao Zinatumika kufanya matangazo ya biashara,walipe Kodi.
Mbowe aliowatwtea Ni Hawa

Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili au tatu anatarajia kufungua maduka siku moja, anatumia mitandao kutangaza na kutafuta wateja, dalali wa nyumba na viwanja, wauza simu na vifaa vya umeme mfano ac, friji na makochi yaliyotumika.

“Wauza nguo na vitambaa, wauza chakula, siwezi kuwataja wote hapa ila itoshe kuwa mtandao ni ulimwengu halali uliopo na biashara inashamiri. Hii ni hatua ya kwanza kuelekea urasimishaji wa biashara,” alisema.

Uwe unasoma unaelewa
 
TRA haiwalengi hao,Kuna site za matangazo wanazijua TRA/TCRA hawajakjrupuka.
 
Sure,
Hata umaarufu wa Chadema utaisha na kupotea kabisa mtandaoni..
 
Sio swala la kuwekeza Facebook bli ni swala la Kila anaeingiza kipato ndani ya mipaka ya JMT anatakiwa kulipa Kwa shughuli yeyote.

Vinginevyo hamia Facebook utoke Tzn hapa maana naona unaongea ujinga as if hutumii Huduma za Tanzania.
Unajua wanauza hizo bidhaa wanazitoa wapi na una uhakika zilikotoka hazijalipiwa Kodi ?
Tusifanye Mambo kijinga kuuwa biashara changa alafu kesho mkishaziua mtaanza Kodi za kishwa
 
Unajua wanauza hizo bidhaa wanazitoa wapi na una uhakika zilikotoka hazijalipiwa Kodi ?
Tusifanye Mambo kijinga kuuwa biashara changa alafu kesho mkishaziua mtaanza Kodi za kishwa
Analengwa mwenye platform ya kuuzia au kufanya matangazo.Wapi umezitoa sio ajenda hapa.
 
TRA haiwalengi hao,Kuna site za matangazo wanazijua TRA/TCRA hawajakjrupuka.
Wanaotangaza matangazo kwenye hizo site sio wafanyabiashara wa Tanzania ?
Unafikiri ukipandisha hizo site Kodi unadhani Ni kina Nani wataumia

Msiangalie Mambo bila kuangalia impact yake inaenda wapi
 
Analengwa mwenye platform ya kuuzia au kufanya matangazo.Wapi umezitoa sio ajenda hapa.
Hiyo platform wanaotangaza huko bidhaa zao Ni watanzania au ?
Pia wananunua bidhaa hizo Ni kina Nani ?
Unajua ikitokea kwa mfano hii platform Jf ikiangozewa Kodi unajuwa Nani ataumia
Unakumbuka walivyoongeza Kodi kwa Mpesa kwa mawakala Nani aliumia?
Tuwe tunafikiria mambo kiupana sio Kama kuku anyeangalia leo tu
 
Kumtoza kodi mnyonge na masikini ni kuendeleza umasikini. Nchi haindelei kwa sababu watu hawawezi kukuza biashara zao kwa kasi.
Unyonge ni upumbavu +
 
Hivi unajua utaratibu wa kulipa Kodi na Aina za Kodi
Unadhani hizo bidhaa wanazouza mitandaoni wanazitoa wapi na hazijalipia Kodi ?
Mkuu! Hii serikali haiwataki kabisa wafanyabishara wazawa. Pia iko kinyume kabisa na vijana.
Mzigo unatoka China, ukifika tu bandarini unalipiwa kodi, ukitoka bandarini ukifika store anayekuja kuchukua kwako analipa kodi. Ukitoka hapo unapenda kwenye manuka madogo ya jumla, anekuja kwako kuchukua mzigo analipa kodi,
Sasa nawewe mwenye duka moja mtaani unaenda kununua mzigo kwenye hilo duka la jumla, bwashee anakusanya kodi kwako. Sasa kimbembe kwa mtu wa mwisho ndio anaumia na huo mrundikano uliokusanywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…