Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,333
- 1,356
Hivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.
Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya.
Watanzania na wanachadema si wajinga, wanakipenda Chama kwa mioyo yao yote, ni magumu na mabaya mengi tumepitishwa kwa ajili ya Chadema, tunaihitaji katiba mpya kwa ajili yetu na vizazi vyetu, agenda hii isifie njiani.
Bado tuna imani na wewe pia na Chama chetu. Na tunakuombea Sana CCM ni waongo waongo nenda nao kwa tahadhari kubwa.
Nawasilisha