Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
CHADEMA ni mpango wa MUNGUMajibu ya wasiwasi wako haya hapa.Chadema siyo chama cha Mapaka kama ilivyo CCM.
View attachment 2253745
CHADEMA ni mpango wa MUNGUMajibu ya wasiwasi wako haya hapa.Chadema siyo chama cha Mapaka kama ilivyo CCM.
View attachment 2253745
Mbowe kajiunga kupigana vita na MAREHEMUHivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.
Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya.
Watanzania na wanachadema si wajinga, wanakipenda Chama kwa mioyo yao yote, ni magumu na mabaya mengi tumepitishwa kwa ajili ya Chadema, tunaihitaji katiba mpya kwa ajili yetu na vizazi vyetu, agenda hii isifie njiani.
Bado tuna imani na wewe pia na Chama chetu. Na tunakuombea Sana CCM ni waongo waongo nenda nao kwa tahadhari kubwa.
Nawasilisha
Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesa kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.Kama magufuli aliweza kuwa kiongoz was nchi basi hata msiba anaweza sembuse mbowe
Chadema kazi kwisha hakuna Chama Hapo labda Sacco's[emoji2][emoji2]Iamini chadema mkuu ndicho Chama kitakacholeta maendeleo ya kweli
Kabisa labda miaka 300 Ijayohakuna chama cha upinzani kitakachokuja kuleta mabadiliko ndani ya nchi hii maana hakuna wapinzani wa kweli wote ni waganga njaa tu
Mm ninashauri wakati maridhiano yakiendelea, wawepo makamanda watakaokuwa wakifuatilia Kwa karibu yanayoendelea nchini.Hivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.
Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya.
Watanzania na wanachadema si wajinga, wanakipenda Chama kwa mioyo yao yote, ni magumu na mabaya mengi tumepitishwa kwa ajili ya Chadema, tunaihitaji katiba mpya kwa ajili yetu na vizazi vyetu, agenda hii isifie njiani.
Bado tuna imani na wewe pia na Chama chetu. Na tunakuombea Sana CCM ni waongo waongo nenda nao kwa tahadhari kubwa.
Nawasilisha
Mnyika Hana namna imembidi akubali kulamba asali na mboweMm ninashauri wakati maridhiano yakiendelea, wawepo makamanda watakaokuwa wakifuatilia Kwa karibu yanayoendelea nchini.
Wahuni wanatumia huu ukimya wa Mbowe na makamanda wengine KUTUPIGA Kwa vitu vizito wakijua maridhiano yanaendelea hamshambuliani.
Angalau Lisssu anajitahd, mnyika kaza zaidi unapoongelea masuala ya nchi we Si katibu wa KIJANI ni Kamanda, maana umepoa sn tangu enzi alipoingia Mzee wa mamvi. Amen
Hao makamanda hawana Bei.Mnyika Hana namna imembidi akubali kulamba asali na mbowe
Sawa JJ tutaendelea kuwaamini sana msituangusheMajibu ya wasiwasi wako haya hapa.Chadema siyo chama cha Mapaka kama ilivyo CCM.
View attachment 2253745