Chama kimemshinda ataiweza nchi?Mbowe lazima ataleta mabadiliko chanya kwenye nchi yetu
wekaa kusubiri mbowe akuletee katiba ukiwa umekaa nyumbani mwenzio kishalama asali amka ingia barabarani kudai katiba mbowe hana tena meno kesha katwa mkiaHivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.
Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya.
Watanzania na wanachadema si wajinga, wanakipenda Chama kwa mioyo yao yote, ni magumu na mabaya mengi tumepitishwa kwa ajili ya Chadema, tunaihitaji katiba mpya kwa ajili yetu na vizazi vyetu, agenda hii isifie njiani.
Bado tuna imani na wewe pia na Chama chetu. Na tunakuombea Sana CCM ni waongo waongo nenda nao kwa tahadhari kubwa.
Nawasilisha
Ushauri wako si mzuri Kuna watu wameumbwa kutimiza malengo makubwa ya kitaifa na mbowe NI mmoja wao anajua anachokifanya Hana njaaMimi nakushauri Mh Mbowe kwasasa endelea kuyajenga na ccm kisha pambania familia yako na wajukuu. Acha kupambania watu wasiokuwa tayari kukupambania wewe unapokumbwa na changamoto, kumbuka ulivyokaa rumande karibu mwaka, kumbuka aliposhambuliwa Lisu.
WENZAKO KINA HALIMA MDEE WAMEJUA HII SIRI NDIO MAANA WAMEAMUA KUYAJENGA TU NA CCM.
Fuata ushauri huu na UTANISHUKURU BAADAE
Tatizo anawapigania kina nani!! Ninaamini Mbowe ameshagundua wananchi/wanachama NI WASANII TUUshauri wako si mzuri Kuna watu wameumbwa kutimiza malengo makubwa ya kitaifa na mbowe NI mmoja wao anajua anachokifanya Hana njaa
Unaota okoo wa shetani hujawahi kusalitiana KWA sasa Mungu wao ni mmoja amka chukua hatua hakuna jipya malikia kamaliza kazi yakeHivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.
Wapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya.
Watanzania na wanachadema si wajinga, wanakipenda Chama kwa mioyo yao yote, ni magumu na mabaya mengi tumepitishwa kwa ajili ya Chadema, tunaihitaji katiba mpya kwa ajili yetu na vizazi vyetu, agenda hii isifie njiani.
Bado tuna imani na wewe pia na Chama chetu. Na tunakuombea Sana CCM ni waongo waongo nenda nao kwa tahadhari kubwa.
Nawasilisha
Anajipigania yeye na kizaz chake na watanzania wengine wote mpaka weweTatizo anawapigania kina nani!! Ninaamini Mbowe ameshagundua wananchi/wanachama NI WASANII TU
Nyumbu hawana hata uwezo wa kumhoji mfalme mbowe, watamfuata kama nyumbu wnavyojitosa majini kuvuka mto MaraWapo wanaodai umelambishwa asali ya ikulu na umeridhia kupunguza au kuacha kabisa swala la Katiba Mpya.
Mungu ibariki CHADEMAHivi karibuni maneno mengi Sana yameibuka hasa baada ya kuanza mazungumzo ya maridhiano na Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.