Mbowe tunakuamini sana sisi wana-Chadema, usituangushe

Mbowe kajiunga kupigana vita na MAREHEMU
 
Kama magufuli aliweza kuwa kiongoz was nchi basi hata msiba anaweza sembuse mbowe
Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesa kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
 
hakuna chama cha upinzani kitakachokuja kuleta mabadiliko ndani ya nchi hii maana hakuna wapinzani wa kweli wote ni waganga njaa tu
 
hakuna chama cha upinzani kitakachokuja kuleta mabadiliko ndani ya nchi hii maana hakuna wapinzani wa kweli wote ni waganga njaa tu
Iamini chadema mkuu ndicho Chama kitakacholeta maendeleo ya kweli
 
Mm ninashauri wakati maridhiano yakiendelea, wawepo makamanda watakaokuwa wakifuatilia Kwa karibu yanayoendelea nchini.

Wahuni wanatumia huu ukimya wa Mbowe na makamanda wengine KUTUPIGA Kwa vitu vizito wakijua maridhiano yanaendelea hamshambuliani.

Angalau Lisssu anajitahd, mnyika kaza zaidi unapoongelea masuala ya nchi we Si katibu wa KIJANI ni Kamanda, maana umepoa sn tangu enzi alipoingia Mzee wa mamvi. Amen
 
Mnyika Hana namna imembidi akubali kulamba asali na mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…