mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Ni sawa hayo yote, Lissu pia amechangia damu yake kukuza chadema, hadi sasa unalipwa pesa ndefu na ccm unakula na wanaoMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Mjinga sana huyu gaidi wa ccmKama ulimpa nyumba, gari haijalishi. You must go. Kwa hiyo ulimpa hivyo vyote kama rushwa ili asigombee nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Yote haya ya nini Sasa hivi ?Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Lissu nae alikubali kufa kwa ajili ya chama, lipo lubwa? Lissu ana risasi mwilini, hayo mbowe anaona ni kidogo?Yote haya ni Lissu kuchukua form ya kugombea uenyekiti,haya ngoja tusubiri Lissu naye afunguke yake hadi hiyo 21 January tutasikia mengi sana. Mbowe anajua kuchamba kama mzaramo vile.
Damu za akina Chacha Wangwe zinadai Haki hapo Ufipa st 🐼Yote haya ni Lissu kuchukua form ya kugombea uenyekiti,haya ngoja tusubiri Lissu naye afunguke yake hadi hiyo 21 January tutasikia mengi sana. Mbowe anajua kuchamba kama mzaramo vile.
halafu unaambiwa thank you!Inatosha, ni wakati wa kuondoka kwenye jukwaa, hata ucheze vizuri namna gani, ukifika wakati unamuachia na mwenzako aonyeshe mambo yake.
RIP Shujaa Magufuli 🌹waswahili tunasema “kikulacho kinguoni mwako” , anayekumaliza ni unayemjua lkn hata na yeye (tundu lisu) ipo siku atakutana na psycho mwenzake, dunia ni duara …
Kwani si ulimpa? Ulitegemea mtu kama Lisu akulipe fadhila? Ngoja akunyoosheMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
RIP Shujaa Magufuli 🌹
Elon Musk anatua nchini wiki ijayo. 😂umesikia huko BREAKING sasa hivi justin trudeau waziri mkuu wa kanada ameshaachia ikiwa zimebakia wiki 2 tu kabla mbabe D.Trump aapishwe, hata tanzagiza wiki 2 zijazo ni critical …