Pre GE2025 Mbowe: Uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA nilimpa gari yangu akafanyie kampeni. Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa yeye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.

20250106_202941.jpg
 
View attachment 3194386
Ni sawa hayo yote, Lissu pia amechangia damu yake kukuza chadema, hadi sasa unalipwa pesa ndefu na ccm unakula na wanao
 
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.

View attachment 3194386
Yote haya ya nini Sasa hivi ?
 
Yote haya ni Lissu kuchukua form ya kugombea uenyekiti,haya ngoja tusubiri Lissu naye afunguke yake hadi hiyo 21 January tutasikia mengi sana. Mbowe anajua kuchamba kama mzaramo vile.
Lissu nae alikubali kufa kwa ajili ya chama, lipo lubwa? Lissu ana risasi mwilini, hayo mbowe anaona ni kidogo?
 
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.

View attachment 3194386
Kwani si ulimpa? Ulitegemea mtu kama Lisu akulipe fadhila? Ngoja akunyooshe
 
RIP Shujaa Magufuli 🌹

umesikia huko BREAKING sasa hivi justin trudeau waziri mkuu wa kanada ameshaachia ikiwa zimebakia wiki 2 tu kabla mbabe D.Trump aapishwe, hata tanzagiza wiki 2 zijazo ni critical …
 
Lissu ana damu ya usaliti ukiangalia wema aliofanyiwa na Mbowe huwezi kutegemea angemkgeuka na kumtusi namna hii kisa madaraka.

Lissu wakati unafundishwa siasa hao kina Maria Sarungi walikuwa wapi?

Wakati unapewa nauli za ndege naembowe ukuwe kisiasa hao diaspora walikuwa wapi?

Wakati umepigwa risasi nani alikuepusha kwenda muhimbili kama sio Mbowe?

Lissu ni msaliti na hafai kuongoza taifa kama Tanzania wala chama kama chadema.
 
umesikia huko BREAKING sasa hivi justin trudeau waziri mkuu wa kanada ameshaachia ikiwa zimebakia wiki 2 tu kabla mbabe D.Trump aapishwe, hata tanzagiza wiki 2 zijazo ni critical …
Elon Musk anatua nchini wiki ijayo. 😂
 
Back
Top Bottom