Mbowe ukituongopea sisi wanadamu Mungu anayajua matendo yako unayoyapata kwa sasa ni Karma ya kuwadanganya watu kwa muda mrefu toka hadharani utubu ut

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo

Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo

Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
 
Unaandika "Mbowe ukituongopea sisi wanadamu" maana yake hujui uandikalo, halafu mbele unasema toka hadharani utubu, kama vile unajua kosa alilofanya, simply hapa umeandika upuuzi mtupu.
 
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo...
Magufuri yupi alitungiwa uongo? Huyu aliyesema mkichagua wapinzani hampati maendeleo?. Acha kumtukuza mwanadamu mwenzako, Magufuri alitakiwa kuomba radhi kabla hajafa. Kuna raia anaitwa Been sanane mpaka leo hajulikani yupo wapi.
 
Mbowe alishangilia sana kifo cha Magufuli na kifungo cha Sabaya

Wakati Sabaya anafungwa Mbowe alikuwa tayari ndani. Halafu Magufuri alikuwa Nani? alikuwa binadamu wa kawaida Kama wengine, usimpe hadhi ya uungu.

Kama alitesa watu kwanini uwapangie wamlilie wakati hawana Cha kumlilia. Wewe unadhani familia ya Lissu na Saanane na Azory watamlilia Magufuri wakati wapendwa wao wamepotea kwenye uongozi wake.
 
Wote walioshangilia kifo cha Magufuli watalipwa hapahapa duniani akiwemo gaidi
Kila mtu atakufa,, kila mtu anapitia changamoto za kimaisha,, Mbowe sio wa kwanza kushtakuwa makosa ya ugaidi,, rejea kwa HAKAINDE HICHILIMA,, je, yeye alimshangilia Nani alipofariki?!
Je, Ni wapi Mbowe alisema amefurahishwa na kifo cha Magufuli??

Ni bora ungesema wewe umefurahi Mbowe kupitia anayopitia
 
Hivi ni nanI huwa anashika akili za UVCCM?
Unauitaje gaidi mheshimiwa?
Unagongwa na wachawi.
 
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo

Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo

Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
You have got such kind of prejudices, simply because of your own preconceived ideas, equally you seems to be biased simply because of your low ability to correlate things.

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wana mageuzi tunatambua ukweli ya kwamba, pale linapotamalaki giza nene, basi hapo ndipo mawio hukaribia.

Siyo Mbowe, siyo CDM bali wote tunahitaji katiba mpya na mwenendo mpya wa kuindesha nchi yetu, hasa taasisi nyeti ya urais.

Not one, not two, but all of us.
 
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo

Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo

Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Haki ifuate mkondo wake sheria pia hali kadhalika.
Ukiachana na hili lenye ushahidi ulioficha bado kuna yale ya wazi ambayo chama cha mapinduzi katika uchaguzi 2020 ulikodi wahalifu waliovikwa unifomu za jeshi na kuua wazanzibar. Hawa lazima wachukuliwe hatua.
 
Hakuna mtu mwongo kuzidi mzimu wa Chato.

Aliwahi kusema oooh, " tunajenga miradi mikubwa ya kimkakati kwa fedha zetu za ndani". Kumbe linakopa hatari.
 
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo

Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo

Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Wa kumuomba toba na msamaha ni Mungu pekee aliyemkuu samia ni tone lá manii kama wewe usimpe ukuu aliyokuwa si sifa yake.

Ugaid mnautaja nyinyi baadhi ya wajinga wA lumumba nje ya lumumba hakuna anaesema yeye ni gaidi.

Hebu sem a amefanya lipi baya lililopelekea wananchi wakaathirika na wakautangazia umma ya kwamba Mbowe anadhulumu watu kwa njia yoyote ikiwa ni ya kuua,kunyang'anya n.k.

Wapigaji magoti ni nyinyi emdeleeni tu hivyohivyo kwa vile jiwe aliwaambukiza hayo mlimuoana mungu mtu kwa vile alisema atakwemda kuongoza malaika mpka kumkufuru Mungu kwa ujinga wake ati analindwa ni mbwa wA kipoliccm.

Na huyo samia wacha aendelee kudhulumu watu kisa mtazamo wA kisiasa mwisho wA maji ni tope.
 
Ni Mbowe pekee ndiye anajua ukweli wa hili jambo.
 
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo

Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo

Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu

Aliyemwelewa huyu anisaidie ufafanuzi
 
Mwendazake huyu aliyetaka kuchukua sifa za uumbaji...wa kusujudiwa hapa ulimwenguni ni Mungu tu...
 
Ni Mbowe pekee ndiye anajua ukweli wa hili jambo.
Urio na Mbowe ndiyo watu pekee wa kutuhakikishia ugaidi huu.

Urio hata tarehe hakumbuki ya kufungua mashitaka kwa DCI, hananushahidi wowote kwamba alishiriki kikao na Mh. Mbowe, kifupi Urio shahidi muhimu lakini hana ushahidi wowote ule wa kumfunga mtu maisha.

Kifupi Urio kateswa sana na ki ukweli hana opinion nyingine zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom