Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Usihukumu usije ukahukumiwaFreeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo...
Magufuri yupi alitungiwa uongo? Huyu aliyesema mkichagua wapinzani hampati maendeleo?. Acha kumtukuza mwanadamu mwenzako, Magufuri alitakiwa kuomba radhi kabla hajafa. Kuna raia anaitwa Been sanane mpaka leo hajulikani yupo wapi.Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo...
Mbowe alishangilia sana kifo cha Magufuli na kifungo cha Sabaya
Kila mtu atakufa,, kila mtu anapitia changamoto za kimaisha,, Mbowe sio wa kwanza kushtakuwa makosa ya ugaidi,, rejea kwa HAKAINDE HICHILIMA,, je, yeye alimshangilia Nani alipofariki?!Wote walioshangilia kifo cha Magufuli watalipwa hapahapa duniani akiwemo gaidi
You have got such kind of prejudices, simply because of your own preconceived ideas, equally you seems to be biased simply because of your low ability to correlate things.Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo
Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo
Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Haki ifuate mkondo wake sheria pia hali kadhalika.Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo
Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo
Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Wa kumuomba toba na msamaha ni Mungu pekee aliyemkuu samia ni tone lá manii kama wewe usimpe ukuu aliyokuwa si sifa yake.Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo
Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo
Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo
Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo
Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Mwendazake huyu aliyetaka kuchukua sifa za uumbaji...wa kusujudiwa hapa ulimwenguni ni Mungu tu...Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo
Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi ni mojawapo
Mheshimiwa Mbowe ulimtungia uongo Sana Hayati Magufuli ukashirikiana na Wazungu kumhujumu kwa njia nyingi ili tu aonekane ameshindwaa alipoingia Samia vivyo hivyo mkaendeleza chuki yenu dhidi yake toka hadharani omba msamaha tubu maisha yaendelee ulee wajukuu
Urio na Mbowe ndiyo watu pekee wa kutuhakikishia ugaidi huu.Ni Mbowe pekee ndiye anajua ukweli wa hili jambo.