Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Mkuu kuna pre na post contracts kwa hiyo usishangae kupewa pesa kwa mafungu

Miaka ya nyuma kabla Lowasa hajagombea Chadema walikuwa wanaweka 40% tu ya wagombea

Urafiki wa Lowasa na wakuu wa wilaya ndio uliombeba kupata wabunge Chadema

Safari lisu ni mweupe haleti kura
Acha porojo kuwa mkweli je ulikwepo lissu akipewa fedha za kukodiwa ndege? Je Uliona mkataba kuwa akishinda Atapewa pesa?
Je, Lowasa ndye alikuwa anawapa hela za kampeni 1995, 2000, 2005 na 2010?

Mwisho anapewaje pesa za kampeni kama atashinda ni za nini sasa kama mtu kashinda?
 
Mbowe kinachomuuma anatumia pesa ambayo hairudi maana hawapati wabunge safari hii
Ndio maana amekuwa mpole mno
UNAJUWA wasilolijuwa watu ni kuwa mbowe yupo after money sasa hapo lissu hana pesa furaha itatoka wapi wakati hata serve hela kwenye uchaguzi huu
 
Yaani mikutano minne tu ya CCM tayari mshaanza kupoteana.
 
Mwelekeo wa kampeni utaonekana baada ya siku 30,,bado saa hii ni trailer...
 
Mbaya zaidi yule beberu anakashifa kwa kuwa hana mke
Itakuwa lengo la robertison wa Amsterdam ni kutuletea mambo ya usodoma Tanzania ukizingatia mgombea wa chadema alishawahi kutetea hayo mambo
Lisu ambae anamtegemea beberu wake Amsterdam eti ndio ataitikisa ccm
 
Nyie chadema mtapigwa mchakae hampati mbunge safari
Aliyewabeba Mzee Lowasa hayupo tena
Mwelekeo wa kampeni utaonekana baada ya siku 30,,bado saa hii ni trailer...
 
Mbaya zaidi yule beberu anakashifa kwa kuwa hana mke
Itakuwa lengo la robertison wa Amsterdam ni kutuletea mambo ya usodoma Tanzania ukizingatia mgombea wa chadema alishawahi kutetea hayo mambo
Atakuwa kuwabeba bavicha wote aende nao huko ubalgiji. Na hivi bavicha wanapenda wazungu.
 
Anajua hawezikushinda wanayonadi ndo yanafanywa na magufuli sasa anatafakir sanaa.
“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.”

Kipangaspecial 2020
 
Toka kampeni zianze umekuwa mpole sana, hauna furaha, unafanya kampeni ili kukamilisha ratiba tu body language yako inaongea tatizo ni kaka.

Nimekuzoea ukitema cheche cha kuchangamsha kampeni safari hii mbona umekuwa wa baridi kuliko 2015.

Jana mtu mmoja aliniambia Mbowe alikuwa na furaha 2015 Kwasababu hizi.

Mgombea wa CHADEMA ndugu Lowasa alikuwa anauzika kwa Wananchi tofauti na huyu aliyepo waliemteua kama zawadi kutokana na kujeruhiwa kwa risasi.

Pia mgombea wa CHADEMA alikuja na pesa ya kampeni Kwahiyo Mbowe hakutumia pesa za CHADEMA katika kampeni tofauti na mgombea wa mwaka huu kapewa pesa ya kukidiwa ndege tu kule alikotoka na pesa zingine atapewa akishinda Urais.

Mgombea wa 2015 alikuwa na urafiki na wakuu wa wilaya na wakurugenzi hali iliyowasaidia CHADEMA kupata wabunge kiasi.

Km tunavyojua Mbowe alitaka sana Membe ndio awe mgombea wa CHADEMA kwasababu angekuwa ni assets kwa CHADEMA ila Mbowe safari alishindwa nguvu na makamanda wasiokuwa na jicho pana kisayansi.

Pole sana Mbowe ningekushauri urudi jimboni kwako ukakae kule upige kampeni mnaweza kukosa jimbo hata mmoja mwaka huu, sioni jimbo gani mtashinda mwaka huu.

Pole Mbowe umeletewa mgombea ambaye sio chaguo lako.
Nadhani tungejikita katika kuondoa umasikini kwa watanzania, kuliko kumuongelea mtu mmoja mmoja kama mbowe.
 
Na lissu ni mjanja Uchaguzi ukiisha tu anawakimbia anaenda kula bata na robertison wa Amsterdam [emoji3]
Salary slip na G sam ndio kabisaa!
. Wakisikia tu jina la huyo beberu wao akili zinawapotea
 
Mbowe ndiye mwenye Chadema, na ile ni sacos ya famili,sacos inapoleta hasara kina mrema hawatamuelewa
Nadhani tungejikita katika kuondoa umasikini kwa watanzania, kuliko kumuongelea mtu mmoja mmoja kama mbowe.
 
Mbowe ndiye mwenye Chadema, na ile ni sacos ya famili,sacos inapoleta hasara kina mrema hawatamuelewa
Kumzumgumzia Mbowe haisaidii mkuu, na haimsaidii mwananchi masikini asiyweza kupata huduma bora za afya, huduma bora na salama za maji, huduma bora za umeme, mazingira rafiki ya yeye kufanya biashara, bajeti kubwa katika kilimo na pembejeo.
 
Kwanza Anajua Mgombea wake ni Galasa kwa Magufuli
Anakamilisha wajibu tu
 
Upo Nchi gani
Rais Magufuli amepeleka umeme kila kijiji
Amepeleka Zahanati kila kijiji
Maji yanapatikana mjini kwa 90%,vijijini kwa 60%
Elimu bure kwa Watanzania

Nyie chadema mkaungane na robertison wa Amsterdam tu [emoji3]kubeba boksi

Back
Top Bottom