MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
Tunawasubiri mmalize kuchapana makonde akili ziwarudi👷👷😂😂😂😂Mweleka tutamchapa kibaraka wa Mabeberu na rafiki wa robertison wa Amsterdam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawasubiri mmalize kuchapana makonde akili ziwarudi👷👷😂😂😂😂Mweleka tutamchapa kibaraka wa Mabeberu na rafiki wa robertison wa Amsterdam
Mabavicha mnatabu sana na mgombea wenu wa Risasi.Ccm mnatisha sana, sisi chadema tunaonekana kituko
Acha takwimu za uongo mkuu...vijiji vingi havina huduma ya umeme wala maji, tena maji ndio uache uongo kabisa, watu wanakunywa na kuogea maji machafu pia hizo zahanati wananchi wanapata huduma bora za afya? kuna madawa? kuna wafanyakazi sekta ya afya wanatosha? hawapo wa kutosha na wengi wapo mtaaani hawana ajira, hio elimu bure ni elimu bora au bora elimu sababu ni BURE waalimu wengi wanadai stahiki zao miaka na miaka hawajalipwa, hawapandishwi vyeo, mishahara mibovu na kiduchu, zaidi wengine wengi hawajaajiriwa wako mitaani...hizo ajira milioni 8 zinazosemwa zitatokea wapi kamw miaka mitano iliyopita unemployment rate imezidi kukuab..
tubishane kwa hoja na sio kumtaja robert na mafaili yake au ku relate comments zenye hoja na chama cha siasa chadema ukianza huko sitoweza mipasho nitakuacha ufanye mipasho na wengine.
Mkuu umasikini bado ni mkubwa sana tena sana, hio tu ni kiashiria kwamba hawa wanasiasa UCHWARA wapo kwa ajili ya matumbo yao na biashara zao ziende vizuri ndio mana unaona wako radhi kupigana makonde mazito mazito kama Mwakinyo ili tu selfish reason zao zipate kukamilika, wamewasahau watanzania na shida zao.Tunawasubiri mmalize kuchapana makonde akili ziwarudi[emoji62][emoji62][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umenifumbua macho, kuna habari mbaya zinaenea kuwa robertison wa Amsterdam hajao,je atakuwa ktk mahusiano ya aina gani
Hivi unafahamu kuwa Mbowe ni mgonjwa alivunjika mguu na hajaunga vizuri bado? Hivi unafahamu maumivu apatayo mtu aliyevunjika? Nakuombea japo uteguke tu Mkuu uone shughuli yake. Sembuse kuvunjika mtu mzima over 50 yrs kuunga kwenyewe ni shida na anatakiwa awe mwangalifu mno asitoneshe hiyo fracture. Kwanza tumpongeze mno. Nilifikiri hata kampeni hataweza kuhudhuria. Hata kama ni mwema CCM kama Mimi ni vizuri kuwaza kwanza kwa lens ya mbali kabla ya kudondosha Uzi. Hiyo ndiyo inaitwa Matured thinking and acting.Toka kampeni zianze umekuwa mpole sana, hauna furaha, unafanya kampeni ili kukamilisha ratiba tu body language yako inaongea tatizo ni kaka.
Nimekuzoea ukitema cheche cha kuchangamsha kampeni safari hii mbona umekuwa wa baridi kuliko 2015.
Jana mtu mmoja aliniambia Mbowe alikuwa na furaha 2015 Kwasababu hizi.
Mgombea wa CHADEMA ndugu Lowasa alikuwa anauzika kwa Wananchi tofauti na huyu aliyepo waliemteua kama zawadi kutokana na kujeruhiwa kwa risasi.
Pia mgombea wa CHADEMA alikuja na pesa ya kampeni Kwahiyo Mbowe hakutumia pesa za CHADEMA katika kampeni tofauti na mgombea wa mwaka huu kapewa pesa ya kukidiwa ndege tu kule alikotoka na pesa zingine atapewa akishinda Urais.
Mgombea wa 2015 alikuwa na urafiki na wakuu wa wilaya na wakurugenzi hali iliyowasaidia CHADEMA kupata wabunge kiasi.
Km tunavyojua Mbowe alitaka sana Membe ndio awe mgombea wa CHADEMA kwasababu angekuwa ni assets kwa CHADEMA ila Mbowe safari alishindwa nguvu na makamanda wasiokuwa na jicho pana kisayansi.
Pole sana Mbowe ningekushauri urudi jimboni kwako ukakae kule upige kampeni mnaweza kukosa jimbo hata mmoja mwaka huu, sioni jimbo gani mtashinda mwaka huu.
Pole Mbowe umeletewa mgombea ambaye sio chaguo lako.
Hivi unafahamu kuwa Mbowe ni mgonjwa alivunjika mguu na hajaunga vizuri bado? Hivi unafahamu maumivu apatayo mtu aliyevunjika? Nakuombea japo uteguke tu Mkuu uone shughuli yake. Sembuse kuvunjika mtu mzima over 50 yrs kuunga kwenyewe ni shida na anatakiwa awe mwangalifu mno asitoneshe hiyo fracture. Kwanza tumpongeze mno. Nilifikiri hata kampeni hataweza kuhudhuria. Hata kama ni mwema CCM kama Mimi ni vizuri kuwaza kwanza kwa lens ya mbali kabla ya kudondosha Uzi. Hiyo ndiyo inaitwa Matured thinking and acting.
sijaona ukijibu hoja, takwimu hizo za kuandika tu hata mimi naweza kuandika hapa mfano, 50%, 33% n.kNimekupa takwimu hapo
Magufuli kapeleka umeme kwenye vijiji alfu tisa vimebaki vijiji vichache sana
Km umenuna kunywa wembe
🐖🐖🐖🐖👷👷👷weweMambo madogo hayo
Bali la maflyover na reli kukarabatiwa huku wananchi wakishinda njaa na kukosa furaha siyo?Maendeleo ya taifa sio la raia kuwa na hela mfukoni mkuu.
sijaona ukijibu hoja, takwimu hizo za kuandika tu hata mimi naweza kuandika hapa mfano, 50%, 33% n.k
wembe sio chakula...watanzania wanataka wapate milo mitatu kwa siku angalau lakini kwa sasa ni kawaida kukuta mtanzania ameshindia mlo mmoja kwa siku au pengine maji tu kwa wiki nzima, hali ni ngumu mtaani pita ujionee, muachane na Robert wa uholanzi bali mshuhulike na UMASIKINI wa watanzania uondoke.
Kwani anagombea?Toka kampeni zianze umekuwa mpole sana, hauna furaha, unafanya kampeni ili kukamilisha ratiba tu body language yako inaongea tatizo nini kaka?
Nimekuzoea ukitema cheche cha kuchangamsha kampeni safari hii mbona umekuwa wa baridi kuliko 2015.
Jana mtu mmoja aliniambia Mbowe alikuwa na furaha 2015 Kwa sababu hizi.