Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanyaMbowe yupo sahihi maana amekomaa na issue ya 50/50 hakuna la maana anafanya
Akila wewe unaumia nini?Mbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanya
Ubavu alionao ni kula ruzuku tu za chama bila makamanda kushtuka
Itoshe kusema wewe una chuki binafsi na Mbowe na ndio maana hutaki kujibu hoja yake bali una mu attack yeye as a person.Mbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanya
Ubavu alionao ni kula ruzuku tu za chama bila makamanda kushtuka
Wapi ampangia cha kufanya wewe mbwiga?Mbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanya
Ubavu alionao ni kula ruzuku tu za chama bila makamanda kushtuka
Sijaumia, mnaoumia nyie mnaozungusha mikonoAkila wewe unaumia nini?
Wewe umeona hoja gani hapo? Kwa hiyo Mama Samia aache ratiba zake za Sasa akutane na mbowe?Itoshe kusema wewe una chuki binafsi na Mbowe na ndio maana hutaki kujibu hoja yake bali una mu attack yeye as a person.
Shows how nincompoop of a loser you are.
Anaposema anakutana na wengine na kuwaacha wao maana yake nini? Na anaposema ipo siku atawatafuta maana yake nini?Wapi ampangia cha kufanya wewe mbwiga?
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.
Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.
Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?
Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?
Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.
#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#
View attachment 1813320View attachment 1813322
Hoja ya msingi ni kukutana na viongozi wa upunzani kujadili masuala ya muhimu kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya watu na demokrasia nchini.Wewe umeona hoja gani hapo? Kwa hiyo Mama Samia aache ratiba zake za Sasa akutane na mbowe?
Muda wa kwenda kugawa rasilimali zetu Kenya anao, kwanini wa kukutana na jemedari Mbowe kujenga umoja wa kitaifa, which is far better, hana!!?
Tokea mmeanza kusema CHADEMA itakufa nyie ndio mnakufa kama kuku wenye kideri.View attachment 1813353hii ndiyo inamsumbua mbowe huwezi kuwa kiongozi makini huku umezidisha hii kitu aachie wenzie waongoze chama kitamfia mikononi mwake unampangia RAIS?
Kwani haraka ya nini? Soli asuburi ataitwaHoja ya msingi ni kukutana na viongozi wa upunzani kujadili masuala ya muhimu kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya watu na demokrasia nchini.
Wewe kwa kuwa una akili za kushikiwa huwezi kutambua hoja hizo.
Mbowe ana shida kwenye medulaYe ni nan ampangie Rais wetu Ratiba yake?..
Wamemuomba Mama kakubali watulie sasa Mbona hata mikutano wanafanya wanazunguka mama Hajawazuia hawaon utofaut wa Rais wetu mpendwa ulivyo?...
DEMOCRASIA GANI MNAYOIHUBIRI NYIE WAKATI MADARAKA ANALAZIMISHA MTU MMPOJA TU AWE MWENYEKITI INAMAANA CHAMA HAKINA HAZINA YA VIONGOZI? HUO NDIYO UVUNJAJI WA DEMOCRASIA KWAHIYO CHAMA CHENU SIYO CHA KIDEMOCRASIA NI GENGE LA UHALIFUTokea mmeanza kusema CHADEMA itakufa nyie ndio mnakufa kama kuku wenye kideri.
CHADEMA itadumu milele. Wewe utakufa mapema sana kabla ya chama cha wapenda haki na demokrasia.