Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

Wananchi ni mabosi wa rais na rais ni mtumishi wetu. Bosi ana mamlaka ya kumpangia kazi mtumishi wake.

Tuko pamoja mwanamboka?
 
Kwani mbona kipindi Cha mwendazake Mbowe alikuwa wapi amepata mteremko Sasa anafanya kulazimisha ,kukutana nao sio lazima na waliomba Kama wanaona kimya wajue ombi lao halijakubaliwa au bado linafanyiwa kazi
 
Wananchi ni mabosi wa rais na rais ni mtumishi wetu. Bosi ana mamlaka ya kumpangia kazi mtumishi wake.

Tuko pamoja mwanamboka?
Hapana Raisi atapata muda sahihi wa kukutana nao na sio kulazimishwa
 
Watu wapo magerezani kwa kesi za kisiasa, wamefungwa kwa kua ni wapinzani wa Mwendawazimu, hili awezi akasubiri mpaka ajisikie.
Mbowe yupo sahihi kabisa.

Samia aache kuhubiri uzalendo na umoja feki.
 
Mama yupo busy na 50/50 mbowe acha kazi iendelee
 
Akila wewe unaumia nini?
Mnapohoji matumizi mabaya ya fedha za umma, unaofanywa na viongozi wa Serikali, mfanye hivyo hivyo kwa matumizi ya Ruzuku, kodi yetu.

Hivi kwa nini mnamwogopa Mbowe? Km alilewa chakari akadondoka, hadi leo kimya, kama vile hilo tukio halikuwepo, na hata yeye, mhusika, halizungumzii kabisa.
 
Mwambie na mume akalewe kama ana pesa ya kulewea
 
Mbowe yupo sahihi maana amekomaa na issue ya 50/50 hakuna la maana anafanya.

Amuache mama wa watu, asimpangie ratiba ya kukutana nao.
Naona sasa baada ya lisu kutulia, yeye kaamua kulianziasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…