Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

Haraka ya nini? Mtu hata miezi mitatu hajafikisha akiwa Rais…

Au yeye Mbowe alitaka Rais akutane naye siku hiyo hiyo aliyoomba kukutana naye?
Mama alivyo mjibu Balozi wa Marekani,

“We do not harbor any illusions about a broad basis of support between CCM and Chadema or rather opposition suporters, which I think animated some of the approach back then.

We view the forthcoming meeting with Mbowe and his group as an important tool to manage what always have been a persistently difficult relationship.”
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema wito wao wa kwenda Ikulu kwa ajili ya kunywa chai na kufanya mazungumzo na rais Samia kuhusu mambo mbalimbali ya nchi umepuuzwa. Hivyo amesikitika sana.View attachment 1813401
Faru John mzee mmoja hivyo kabisa. Eti maumivu ya taifa, saccos imekuwa taifa au genge la wahuni tu. Taifa halina maumivu yoyote, lipo imara kuliko awali.
 
Hmm…Samia ndo kasema hivyo?

Sidhani kama anaweza kusema hivo bila kusoma sehemu…lugha haipandi kivile.
 
Mbowe kakosa busara kabisa. Huwezi kumwambia Rais hivi. Tena tayari Rais amekwisha onyesha dhamira. Hatuhitaji kwenda hivi.
 
Haraka ya nini? Mtu hata miezi mitatu hajafikisha akiwa Rais…

Au yeye Mbowe alitaka Rais akutane naye siku hiyo hiyo aliyoomba kukutana naye?
Mkuu unapofanya appointment ya kuomba kukutana na mtu ni budi akujibu, tuonane tarehe... saa.. AU akujibu kwamba sasa sina nafasi, muda ukipatikana nitakujulisha.
 
Kama kweli ni Mbowe kaandika hayo basi kaanza kuchanganyikiwa
 
“We do not harbor any illusions about a broad basis of support between CCM and Chadema or rather opposition suporters, which I think animated some of the approach back then.
This is a convoluted sentence whose meaning is obscure.
Who said those words?
 
Kuna wapumbavu wengi tz huwa mnamchukulia rais kama Mungu mtu, kuna comments humu nazisoma mpaka napata kichefuchefu, nyambaaafu kabisa.
 
Hawa Chadema wanahitaji kiongozi aina ya Hayati Magufuli kwani ukicheka nao wana matatizo makubwa. Leo wanazunguka Tanzania yote na kufanya mikutano ya ndani bila tatizo lolote bado hawalioni hilo.
Uchaguzi ni mwaka 2025 siasa za sasa ni za nini ? Bora turudi mfumo wa chama kimoja chini ya serikali ya mama samia
 
Itoshe kusema wewe una chuki binafsi na Mbowe na ndio maana hutaki kujibu hoja yake bali una mu attack yeye as a person.

Shows how nincompoop of a loser you are.
Hakuna mtu ana chuki na Mbowe ila mbowe mwenyewe amefanya siasa ni biashara. Tunajua hii mikutano yake inafadhiliwa na mabeberu. Mwacheni mama Samia achape kazi tukutane 2025
 
Hmm…Samia ndo kasema hivyo?

Sidhani kama anaweza kusema hivo bila kusoma sehemu…lugha haipandi kivile.
Mwendakuzimu hata kuyasoma tu hayo maandishi asingeweza. Kiswahili chenyewe tu kilikuwa kinamsumbua sembuse yai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…