johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Moja Tu ya Kuanza kulitangaza Shirika sio mbaya au hata 3 za nje sio mbayaTulipaswa kuwekeza ndege ndogo kwa soko la ndani na ukanda EA.Ila kwa root nje midege mikubwa haikuwa uamuzi sahihi.
Muwe mnafuatilia vitu, Marekani kama Marekani hawana ndege hata moja inayomilikiwa na serikali angalau kwa asilimia moja tu, zote wameyapa makampuni na mashirika binafsi yaendeshe kama biashara, wenyewe wanachukua kodi.Na Huu ndio Umasikini wa Fikra ulitaka ndege ya Biashara iwe Nauli za daladala?..
Mbowe ni mfanyabiadhsra anajua anachokisema ambacho ni ukweli mtupu, huyo Msemaji wa Serikali anafanya kazi yake ya kusema tu kama ilivyo kwa wote wa Awamu hii ya maneno bila vitendo. Mfanyabiadhara kwa kuangalia mahitaji anaamua alete bidhaa gani, wakati gani na kwa ajili ya wateja gani na bidhaa ikishapokewa haifungiwi stoo, kama yale madege yamepark pale miaka na miaka yakingoja wateja, bali atawapelekea wateja wake ambao watamlipa fedha yake ya kuleta bidhaa tena.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu...
Mandege yenyewe maboooooooooovu. Airbus iligoma kuruka Mwanza, wakaanza kuikorokochoaMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko.
Hata hivyo msemaji wa serikali Dr Abbas amesema serikali kuwekeza katika ndege haimaanishi kuwa imeacha kuwekeza katika maeneo mengine.
Source BBC Dira ya Dunia
My take: Naona Mbowe ana hoja na Dr Abbas ameipangua kiufasaha.
Maendeleo hayana vyama!
...siku chache tu zilizopita injini ilipasuka na ikamwaga vipande vyake katika mji wa Denver, Colorado..Mandege yenyewe maboooooooooovu. Airbus iligoma kuruka Mwanza, wakaanza kuikorokochoa