vannistelrooy
JF-Expert Member
- Jan 31, 2017
- 317
- 652
Ndege anayemuongelea mbowe ni kiumbe hai,,sera ya chadema ni maendeleo ya watu na ndege ni mtu piaNaona Mbowe sasa akili imerudi anaongelea maendeleo ya vitu
njia ya mwongo fupi.Sasa kampeni za uchaguzi 2020 kwa nini walipinga maendeleo ya vitu?
Ununuzi wa midege toka nchi za mabeberu ni zigo la hasara kwa walipakodi wa Tanzania.
Ukiacha Ethiopia, hakuna shirika la ndege la nchi za Afrika linaloendeshwa kwa faida.
Na Ethiopia wameweza kwasababu walianzisha shirika lao zamani kabla biashara ya usafiri wa anga haijawa biashara kichaa.
JPM alisema Kagame ndio mshauri wake ktk ununuzi wa midege, lakini Kagame ameingia hasara kubwa na amelazimika kuomba ubia na Qatar Airways.
Mtanzania anayeishi chini ya Dola 1 ya Tsh 2300 kwa siku ambao ni wengi anawezaje kumudu ticket ya ndege ya 230k hadi 300k ?
Kwa mawazo yako haya watu wangekuwa wanapanga maishani mwao kuliko kujenga nyumbaEthiopian wana zaidi ya ndege 100 lakini sio kwa cash. Nyingi ni za kukodi (lease) na mkopo (lease purchase). Malipo yamepangwa kwa taratibu na mikataba ya kibiashara. Zinaweza kurejeshwa kwa mkopeshaji/muuzaji biashara isipoenda vizuri. Unaweza kukuta gharama ya kuwa na nusu ya ndege hizo haifikii tuliyotumia kununua zetu 12.
Hata hivyo wanakiri kuwa biashara hiyo ni ngumu sana na faida wanayopata ni kiduchu kulinganisha na nyingine kama za usafiri wa meli (ESLSE) na telecoms. Lakini Ethiopian Airlines ndiyo nembo ya taifa na wao ndio wanaongoza Afrika kwa uwezo wa biashara hiyo. Hivyo inabidi wakomae nayo tu.
Haihusiani na hoja iliyopo mezani.Muwe mnatikisa hivyo vibebeo vya nywele kabla ya maoni yenu.Mbowe si ni yule mwenyekiti wa chama kisichokuwa na angalau kiwanja cha kujenga makao makuu licha ya kupata ruzuku za mamilioni kila mwezi? Sasa huyo ndo aje atupangie vipaumbele vya kitaifa?! Ama kweli nyani haoni 'nyuma yake'!
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko.
Hata hivyo msemaji wa serikali Dr Abbas amesema serikali kuwekeza katika ndege haimaanishi kuwa imeacha kuwekeza katika maeneo mengine.
Source BBC Dira ya Dunia
My take: Naona Mbowe ana hoja na Dr Abbas ameipangua kiufasaha.
Maendeleo hayana vyama!
Yap..yuko Dubai anakula maisha na kupumzisha akili baada ya misukule yake kushindwa kumpa bata ubungeHivi Mbowe ana hata 1% ya shida ulizonazo wewe?? Yeye hizo ndege anazipanda sana, sasahivi yuko Dubai anakula maisha huko, wewe uko wapi sasahivi?? Umeshapanda hizo ndege mara ngapi?
Nchi gani kila mtu anapanda ndege? Ungejua hata mabasi kuna watu hawana uwezo wa kupanda usingeandika utumbo wako hapa. Acha wenye uwezo watumie usafiri wanaoweza. Wewe tumia unaowezaMtanzania anayeishi chini ya Dola 1 ya Tsh 2300 kwa siku ambao ni wengi anawezaje kumudu ticket ya ndege ya 230k hadi 300k ?
Wewe ulitegemea Mbowe asemeje? Alipotafuna billion 8.9 mishahara ya wabunge hakujua Kuna elimu, afya?Kwani we ukitegemea Dr. Abasi ajibuje?
Kwa mawazo yako haya watu wangekuwa wanapanga maishani mwao kuliko kujenga nyumba
Wewe lazima utakuwa mfuasi wa lisu, maana huko kutokuelewa siyo kwa kawaida 😢Haihusiani na hoja iliyopo mezani.Muwe mnatikisa hivyo vibebeo vya nywele kabla ya maoni yenu.