Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

ushahidi? ndiyo maana nasema hakuna great thinker! Leta ushahidi! sikiliza hiyo angalau upata analytical skills kidogo

Analytical skills are problem-solving skills that help you parse data and information to develop creative, rational solutions.
Ushahidi wa mazingira unaonyesha dhahiri ulivyopofua akili zenu hata mkashindwa kuona kweli.

Kama ukitumia akili hata za kuazima hapo kwenye bold umetumoa problem solving skills? Kwa mfano hilo lishambuliwe hakuna kupelekwa Nairobi lipelekwe muhimbili. Huoni ni ulevi mtupu?
Unajiita great thinker kwa upuuzi wa mipasho kama Hadija Kopa? That's pathetic
 
Hii ni kama jigsaw puzzles !
Mimi bado siamini kinachoendelea its realistic
Mimi hapa naona kuna kamchezo ka danganya toto kanaendelea !
Mbowe na Lissu wawe separated namna hii ?!!!!!!
Believe this and you will believe anything 😳🙄 !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🍿
 
Kwa mwendawazimu mtu anayeita spade a spade lazima amuone mropokaji
tatizo la JF nimeliona, most of us ni watu wa vijiweni ambao powerya reasoning ni ndogo mno! Lisu katoa allegations tupu.....SUBMISSIONS AND SUBMISSIONS ARE NOT EVIDENCE! .ametoa ushahidi gani?
 
tatizo la JF nimeliona, most of us ni watu wa vijiweni ambao powerya reasoning ni ndogo mno! Lisu katoa allegations tupu.....SUBMISSIONS AND SUBMISSIONS ARE NOT EVIDENCE! .ametoa ushahidi gani?
Wewe ndio mpuuzi huna power of reasoning at all, tena ni zaidi ya wa vijiweni utakuwa mlevi wa mbege. Mbowe ametoa allegations, Paulo Ntobi, Yericho Nyerere na akina Wenje wote wametoa allegations against Lissu. Mbona hujauliza evidence kwa Mbowe?

Kuna mahakama au wewe ni mahakama? Tuhuma za rushwa ushahidi wake ni wa mazingira, hela nyingi za ghafla anazotumia Mbowe kazitoa wapi? Toeni majibu pathetics!

Nje ya jf jana Wilbroad Slaa katoa allegations tena kwa habari alizopata kutoka usalama wa taifa jinsi Samia kumpa pesa Mbowe na kuhakikisha anashinda uchaguzi, wapumbavu mtalipuka toa ushahidi! Ushahidi wa kwanza wa rushwa ni mazingira. After all Lissu ana haki ya kugombea nafasi yeyote na nyie team Mbowe msijione mna akili na ni great thinkers, ni machawa tu na wengi ni walevi wa kichaga
 
Back
Top Bottom