Ushahidi wa mazingira unaonyesha dhahiri ulivyopofua akili zenu hata mkashindwa kuona kweli.ushahidi? ndiyo maana nasema hakuna great thinker! Leta ushahidi! sikiliza hiyo angalau upata analytical skills kidogo
Analytical skills are problem-solving skills that help you parse data and information to develop creative, rational solutions.
Wakati wewe na mama yangu mliolewa pamoja tena mligombania mume, kwani sijuimuulize mama yako kama mimi juha vinginevyo tusingelikuzaa
Kwa mwendawazimu mtu anayeita spade a spade lazima amuone mropokajiHaya maneno hayawezi kutoka kwa mtu ambaye yuko vizuri upstairs, no wonder unamsapoti Lisu Mropokaji
We ni Choko.Ila Mbowe kukiuza chama kwa Abdul ni sawa?
Only if wapigakura wana akili za binadamu, lakini kwa hawa nyumbu wa Chadema, ile siku Sultani Mbowe anatangaza kutetea kiti chake, to me it was the end of Lissu. Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!bado Mbowe ni mwenyekiti.Hapana imetosha sasa ampishe Lissu kwa vile hataki kwa hiari atalazimishwa kwenye sanduku la kura.
tatizo la JF nimeliona, most of us ni watu wa vijiweni ambao powerya reasoning ni ndogo mno! Lisu katoa allegations tupu.....SUBMISSIONS AND SUBMISSIONS ARE NOT EVIDENCE! .ametoa ushahidi gani?Kwa mwendawazimu mtu anayeita spade a spade lazima amuone mropokaji
MUULIZE MAMA YAKO MAANA NDIYE WIFI YANGUWewe mbona unatabia kama za mawifi,
Nakuhakikishia mbowe ndo anakichinja kabisa kwa hatua yake ya kuchukua fomu kugombeaChama anakiua Lisu..not Mbowe..
Kwani kwa sasa SI mbowe na Samia wanapikika chungu kimoja auLissu akipewa uwenyekiti - Msigwa mjumbe Kamati kuu.
CDM na CCM vitakuwa vyama rafiki.
mbowe ndiye anayeua chadematunazuia mropokaji asiue chama
Wewe ndio mpuuzi huna power of reasoning at all, tena ni zaidi ya wa vijiweni utakuwa mlevi wa mbege. Mbowe ametoa allegations, Paulo Ntobi, Yericho Nyerere na akina Wenje wote wametoa allegations against Lissu. Mbona hujauliza evidence kwa Mbowe?tatizo la JF nimeliona, most of us ni watu wa vijiweni ambao powerya reasoning ni ndogo mno! Lisu katoa allegations tupu.....SUBMISSIONS AND SUBMISSIONS ARE NOT EVIDENCE! .ametoa ushahidi gani?
how?mbowe ndiye anayeua chadema