Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

anajiskia uchungu hayumo kwenye payroll πŸ’
 
hata hivyo nyongeza ya malipo ya mshahara na posho kwa muda mrefu, bado yamekua hayatoshi, ni madogo mno ukilinganisha na kazi na majukumu makubwa na mazito yanayofanyika mule mjengoni kwa maslahi ya Taifa, Lakini pia kule chini kwa wananchi majimboni, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Kazi ni ngumu ndrugu zango πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…