Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

Mbona leo umebadilika hivyo? Huna tusi kwa Mbowe kama kawaida yako na yule mwingine Etwege halimtoki neno humu jukwaani isipokuwa tusi kwa Mbowe! Habari ndio hiyo!
Mkuu kwenye nchi ambayo maji, umeme na sukari ni anasa huwezi kuacha kuwaona watawala wa hiyo nchi hawajitambui
 
Yani unamkata mtu 1500 kwenye ka elfu 5 kake anakonunulia umeme eti kodi ya jengo ili wewe uendelee kuneemeka!
 
Mkuu kwenye nchi ambayo maji, umeme na sukari ni anasa huwezi kuacha kuwaona watawala wa hiyo nchi hawajitambui
Kutawala watawale chama kingine, matusi watukanwe wengine! Mnyonge anyongwe haki yake apewe.
 
Yaani wao wanajitishia sheria ya mafao..;

1. Wabunge wanapokea mafao kwa 100%

2. Marais wastaafu, mawaziri, makatibu wakuu na wengine - 80%

3. Wake wa ma - Rais, waziri mkuu na makamu wa Rais - 60%

4. Lakini watumishi wavuja jasho wa kada za chini kama walimu, manesi, madaktari nk. kikokotoo cha mafao - 33.3%..!!!

Hii haiko sawa.

Ni lazima tupambane na hawa hawayani. Ni lazima tugawane keki ya taifa kwa usawa!!!
 
Nakumbuka what’s wao walijiongezea posho

Wakiwa nje wanauona San mchezo

Wakiwa ndani… watakwambia kwa ground iz ze difflenti
Walisema hata walivyokua ndani,vuta kumbukumbu.Kwa mtu km Mbowe siasa ni utumishi labda km humfahamu vizuri
 
Tatizo la wadanganyika ni ujinga wa kihalaiki unaotokana na ukosefu wa elimu ya uraia
 
Mwananchi mmoja mmoja hawezi. Lakini wananchi katika umoja wao, wana uwezo wa kuzuia mambo yote ya hovyo, wakiamua.
Brother, hilo halitokuja kutokea hadi kiama. Hakuna jambo gumu kama kufanya mambo kwa pamoja (ujamaa) na ndio sababu ujamaa wa mwalimu Nyerere ulifeli.

Hata kwenye hustle zako usije ukalogwa / kujidanganya ukafanya biashara ya ubia utaangukia pua
 
Hii nchi kuelimisha watu nikazi sana!! Tunamajinga mengi kazi kusifuu mamaaa mamaa kila mahali!
Kenya uchumi unakuwa Kwa kasiii wanasifiwa kimataifa lkn wananchi wanamzingua Ruto kamakawa maana kunaviwango haeafiki...
Hii nchi likijengwa daraja nimakelele kilakonaa utadhani serikali au rais anajenga kwahisani kumbe nipesa zetu!!.
Watu waache upumbafu
 
Hebu tupe mikakati mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…