Ni popo na vinyongaSawa warudi ni haki yao kiatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Yaani na mie nilivyooona tu heading ya hii thread waz namba moja nikakumbuka maneno ya Pascal Mayalla kuwa uongozi wa Chadema unawahadaa wanachama wao na wanajua kila kitu kuhusu Covid 19 na WATAWASAMEHE KWA 100%, tayari dalili ndio hizi zimeanza ngoja tuone
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."Mbowe ni kichwa Sana mnaweza kumfikiria mumfikiriavyo lkn mwisho wa siku anaibukaga mshindi,anamsemo wake anaoutumiaga kuwa mtaji wa chama cha siasa ni watu alafu chama chako hutaki watu,, unawazimu!!
Walifukuzwa na Kamati Kuu, ila wakakata rufaa kwa Baraza Kuu kama katiba ya Chadema inavyotaka, na Baraza kuu ndio chombo chenye maamuzi ya mwisho.Wale si mmewafukuza au mnataka kuwarudisha!!!
Zingatia hiiDunia hii kuna watu hawana msimamo
Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."Mkuu huoni aibu kuandika hili uliloandika? Hiyo kauli ya Mbowe ina ukakasi sana, ila wafia Mbowe hamtaacha kumtetea hata afanye nini.
Hujui sheria za nchi zinasema nini, ile Chadema ni mali ya umma sio private company uwape ndugu zako uanachama wengine uwaache, huo ukakasi unaouona unasababishwa na ufinyu wa uelewa ulionao kwenye mambo ya siasa na sheria zake.Mkuu huoni aibu kuandika hili uliloandika? Hiyo kauli ya Mbowe ina ukakasi sana, ila wafia Mbowe hamtaacha kumtetea hata afanye nini.
Nipe ukweli wako niuone.Sio kweli
Wewe Joniii weweee 🤣🤣🤣Mbowe ni CCM!
Ni mtu smart sanaMbowe ni mjasiriaMALI
Anatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Ni mtu smart sana
Jiandaeni kuanza kuwasifia kina Mdee mtake msitakeKabisa. Ameanzia mbaaali. Itakuwa kanusa the fate of covid-19.
Chadema kiwe chama kiongozi?Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema walio HAMA, COVID wamehama/kimbia?Kabisa. Ameanzia mbaaali. Itakuwa kanusa the fate of covid-19.
Hahahaaaa...... Mmawia atarudi kwao Lindi!Hahahahahha... Kina mmawia sijui mtaweka wapi sura zenu kina Mdee hao waja