Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Mbowe ana akili sana!... Mbowe ni akili tupu yule mwamba!
Umeona hiyo gia aliyoingilia anataka kuwasamehe kina mdee
Mbowe ana akili sana!... Mbowe ni akili tupu yule mwamba!
Ni kweli maana wewe unamsikia Mbowe kupitia hapa jf tuAcha propaganda Mbowe sio wa hivyo
sioni kama haya maneno yanaakisi uhalisia.na sitegemei kama cdm hii itakuja kuwa chama bora kwa tanzania kwa kuwa pia hakiaisi uwakilishi wa nchi hii bali wa kanda fulani hivi.Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
Msingehangaika nacho 24/7Chadema kiwe chama kiongozi?
Hakika kuongiza Ufipa ni kazi rahisi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajwahi kuwa na akili!Na utaona nyumbu watakavyo piga makofi na kumshangilia mwenyekiti.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Subiri uone show!Sio kweli, tuache kupiga ramli
Kwa sasa Chadema amekabidhiwa JK ili akina Chongolo wajikite kwenye kusimamia ilani tu!
Gia hii ni ya kuwasamehe kina mdee!Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."[emoji736][emoji736][emoji817]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa utashangaa hawa nyumbu wake wa humu wanawatukana kina Mdee!Mbowe ni kichwa Sana mnaweza kumfikiria mumfikiriavyo lkn mwisho wa siku anaibukaga mshindi,anamsemo wake anaoutumiaga kuwa mtaji wa chama cha siasa ni watu alafu chama chako hutaki watu,, unawazimu!!
Siyo kweli, tatizo ni la anaowaongoza hawajielewi.Ana akili mingi yule.
Leo ndio unakiri kuwa Mbowe ni akili kubwa eeegh? Saafi anawachezesha ngoma msiyoweza kuicheza. Na wakiwarudisha nataka uendelee kumsifia Halima na wenzie kama mlivyokuwa mnafanyaSubiri uone show!
Tukiwambia nyie watu mnazungushwaga tu na kugezwa kama chapati mnabisha.
Mbowe akili kubwa yule
The "wiseass" at his best. Kudos Mbowe!Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi.
Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia watarudi tutawasamehe dhambi zao. Tutajenga CHADEMA kuwa Chama Kiongozi. Tusivae utakatifu, sisi sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu."
Amefafanua, Chama hicho kinapigania Haki za Watanzania wa Vyama vyote hata CCM akisisitiza lengo ni kuwa na Taifa lenye mshikamano.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hapo unadhani Halima na wenzie wakisamehewa nani ni loser?Leo ndio unakiri kuwa Mbowe ni akili kubwa eeegh? Saafi anawachezesha ngoma msiyoweza kuicheza. Na wakiwarudisha nataka uendelee kumsifia Halima na wenzie kama mlivyokuwa mnafanya
Unaakili kubwa sana, Daudi alisamehewa kwa kosa la Kumuuwa Uria kwa kumpeleka front line kwenye mapambano ya vita, Baada ya kulala na mke wake na kumpa ujauzito, Pamoja na kusamehewa ila matokeo ya dhambi yake ilipelekea Mtoto aliye zaliwa alikufaForgiving does not mean compromising!!! Hata ukitenda dhambi you will be forgiven if you ask forgiveness but the consequences of sin are still there. For example ukiiba ukakamatwa utaenda jela hata ukimwomba Mungu msamaha. Atakusamehe lakini jela utaenda tu.
Ajiandae kudemka atake asitakeHahahaaaa...... Mmawia atarudi kwao Lindi!
SureSawa warudi ni haki yao kiatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Mbona Ndugai hasamehi?Nakubaliana na hoja, kwa sisi wakristo kusamehe ni IBADA pia.