Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!


Kwani Yesu alipokuja kuwapigania wanadamu alikuja na familia yake?
 
Yupo sahihi kabisa
 
Pamoja na hayo Hakuna Tapeli mkubwa aliyewahi kutokea katika nchi hii kama Magufuli
 
Mkuu kubaliana na mimi siku hizi most of the successful revolutions zinakua leaderless revolution inakua massuprising bila kiongozi moja, Egypt Tunisia, Malawi hawakuo na kiongozi moja, kwa aina ya siasa ya Tanzania kiongozi ananunuliwa, anapewa kila linawezakanalo achane nao, akikataa anafungwa au kuawa, Zitto iko wapi? wangapi wenye potentia ya uongozi Chadema wamerubuniwa na kuacha struggle, revolution does need one leader but mass-uprising. Kama baadhi ya raia hawako tayari kujitoa kufa au kujeruhuwa sahau mabadiliko.
 
Mkuu kazi ya CCM kwa sasa ni kuhakikisha hao wawili wana gon'gana kifkra na kiutendaji lazima moja asaidiwe na CCM directly au indirectly, ila naona CCM itaka upande wa Mbowe kwasbb ni flexible Lissu bado ana hasira nao ya jaribio ya kumuua sio rahisi ku-compromise na hao watu.
 

Sasa wao si ndio wanataka madaraka? Kwani katiba mpya itampa nafuu gani mtanzania ambae hagombanii cheo chochote wala hataki siasa?
 
CCM wamsaidie wamtakaye kwenye wawili hao, lakini katiba mpya ni lazima.
 
Sasa wao si ndio wanataka madaraka? Kwani katiba mpya itampa nafuu gani mtanzania ambae hagombanii cheo chochote wala hataki siasa?
Ila wewe unajua katiba ya sasa na udhaifu wake, au unaongea kwasbb hujui, hi katiba ya sasa ina athari moja kwa moja kwa raia wa kawaida, Raisi anamamlaka mengi huwezi kumfanya chochote anaweza kuvunja bunge likianza kumjadili, anauwezo wa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya wakurungezi, kutoka chama chake, sasa mranzania asie kua na chama atapata lini hicho cheo.
 

Hakuna uprising isiyokuwa na uongozi. Bila uongozi ni chaos. Ukiona vyaelea vimeundwa.

Kina Nyerere, Mandela, Seif - jela ziliwahusu na bado walikomaa.

Watu hawatatoka barabarani kwa kuanzia bila wito. Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.

https://www.jamiiforums.com/threads...f-mtikila-julius-malema-au-kina-tutu.2013213/

Wito hautatokea mbinguni bali Kwa viongozi mahiri. Wala si kwa viongozi viongozi tu.
 
Shida inaanzia hapa, kwamba wanaotafuta katiba mpya ni wanasiasa fulani.

Yes katiba mpya ni maalumu Kwa kugawana mamlaka,

Raia wa kawaida, anapata faida gani na katiba? Au katiba hii ya sasa inamsumbua nn
 
Lakini Mbowe kasema ukweli.....watanzania ni watu wanaopenda vitu vya kijinga tu kila kukicha. Ukiwaambia vitu vya maana vitakavyowasaidia maishani mwao hawataki kusikiliza na wanakushangaa, wao wanataka habari za kijinga tu kuhusu mastaa uchwara wa Kibongo ambao hawana ishu yoyote.
 

Madaraka ya rais kuvunja Bunge au kuteua, yananiadhiri vipi mm Raia?


Still hoja zenu ni dhaifu katiba ya sasa haiko Sawa Kwa mambo ya mamlaka na sio Kwa mambo ambayo yanamgusa mwanainchi Moja Kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…