Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

Wewe sio mzalendo na huipendi nchi yako. Wewe ni mchumia tumbo. Hata CCM kupitia aliyekuwa katibu mwenezi ilishatamka nia ya kutaka katiba mpya. Huwezi kuwa mzalendo kuwa na katiba inayosema sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kwenye hizi nyakati za wasomi wengi kupindukia. Au hujui kwamba bunge ndo linatunga sheria na kuisimamia serikali? Mbunge wa darasa la saba ataweza kuuchambua muswada wa kitaalamu uliotoka wizarani? Halafu kama bibi na babu hawataki katiba ndo sisi wote tusitake katiba? Acha fikra za kijinga. Mabadiliko ya kweli yataletwa na vijana ila sio wenye akili kama zako. Vijana wa CCM jitahidini kujenga hoja za kuwapinga CHADEMA na sio kuja na porojo zilizozoeleka. Mnafanya tuonekane CCM wote ni vilaza.
 
Wee unapenda nchi wewe au unapenda vyeo
 
Utapigiwa simu
 
Namba za simu za nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
punguani
 
Tupo kwa pembeni tuna wasolola!
 
Watz wana aksi hili lundo la waliopata Zero.
 
Una uzalendo gani wewe si Machawa tu kazini!
Umeitwaa??
 
Hivi,huwa unajiona kama unahutubia mkutano vile?Very "minute" mindset!Luca kama Lucas!😜😜😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…