Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenTutoe maoni kwenye Jambo lililo Wazi? Watanzania wote wasioshikiwa akili wanalitambua Hilo vizuri Sana.
Ushalishwa matango pori na Chawa Amos MakallaBillion 2. 9 za ruzuku ziko wapi?
Wewe CAG? Subiria ripoti yake mwakani Ili Sasa tumuhoji ,mboweBillion 2. 9 za ruzuku ziko wapi?
wewe ndo yule askari Mzenji aliyelichafua Taifa kwa vitendo vya kijinga. hivi bado upo kazini?Maneno kila mtu anaweza kuongea. Muulize how kwa mujibu wa mkataba akupe na vifungu kama atakuwa na jibu
Kwahiyo billion 2.9 ni Bora kuliko bandari?Billion 2. 9 za ruzuku ziko wapi?
Niabu mwenyekiti afungue kesi ya zuio tuu tupo teyari kuchangiaAkihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,
"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract." mwisho wa kunukuu.
Toa Maoni yako.
Karibu kwenye oparesheni 255Watupe ajenda zao za kitaifa hao akina Mbowe, Sio kufanya Siasa za matukio. Leo wapo kwenye Bandari kuuzwa vip km isingekuwa ajenda hii ya Bandari wangeongea nini