Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuhNatakiwa kusamehe saba mara sabini, lakini kwa huyu mama msaliti aliyenipeleka utumwani arabuni hakika bado roho yangu ni nzito sana..
Lengo lako nililijua jana, huwezi kutuondoa kwenye reli, mama yako ni msaliti.Kiinglish cha Mbowe ni tofauti kabisa na cha Ndalichako mwenye PhD 🥲
Hebu tujikumbushe
PhD za mchongo nilikuwa nafikiri ni kwa Msukuma tu.
Hahaa hujui kama hoja huzaa hoja.Lengo nililijua jana, huwezi kutuondoa kwenye reli, mama yako ni msaliti.
Mkuu kopi ya mkataba unayo lkn au huna!!?Wa kupayukia mambo kuwa bandari imeuzwa lakini wanaodai hivyo ukiwauliza vifungu husika nnwatabaki wanarukaruka tu.
Hivi kweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yako unaamini Samia anaonewa kwa unyama aliotufanyia?Kuna shida gani ukiweka hivyo vifungu unavyosema tume surrender our sovereignty? Matusi hayakusaidii
Huyu mzee banaAkihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,
"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract." mwisho wa kunukuu.
Toa Maoni yako.
=======
View attachment 2657284
Wakat wowote itapigwa mnadaMBOWE, tunatafuta msitu tu, kuikomboa nchi yetu
Hadi saivi unapiga tu maneno matupu badala ya kuweka hivyo vipengele vinavyoonesha tumepoteza our sovereignty. Sasa kati ya mimi na wewe nani anapaswa kutolewa lugha mbovu?Hivi kweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yako unaamini Samia anaonewa kwa unyama aliotufanyia?
Kwamba unaamini kila mtu, kila mahali, wote kwa pamoja wana chuki binafsi dhidi ya Samia?
Nakutolea lugha mbovu kwasababu kuna maswali nilishakuuliza jana kuhusu huo mkataba mbovu ukashindwa kujibu, lakini ajabu, bado unautetea tu.
Zaidi nikagundua kumbe hujui hata maana ya MoU na Preliminary Agreement kisheria, sasa mtu kama wewe unapata wapi mandate ya kumtetea Samia kwa ujinga wako kisheria?
Mbowe ni mzushi kama wazushi wengine....hajazoea siasa za kistaarabu..[emoji1787][emoji1787]Tutoe maoni kwenye Jambo lililo Wazi? Watanzania wote wasioshikiwa akili wanalitambua Hilo vizuri Sana.
Ukikaa kwenye nyumba ya vioo usiutamani ugomvi wa mawe.....[emoji1787]Amen
Bilioni 2 ziko wapi?!??Ushalishwa matango pori na Chawa Amos Makalla
Sina mkuu, nisaidieMkuu kopi ya mkataba unayo lkn au huna!!?
Tukusaidie
It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract[emoji419][emoji375]Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,
"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract." mwisho wa kunukuu.
Toa Maoni yako.
=======
View attachment 2657284
Sasa unatuponda buure watu tuliosoma na kuuelewa mkataba.Sina mkuu, nisaidie
Sasa nyie mliosoma tuambieni shida iko kwenye nini. Mnataka na sisi tuunge tela bila kujua kitu gani sicho?Sasa unatuponda buure watu tuliosoma na kuuelewa mkataba.
wabongo bana
Ashikilie wapi?!!!Shikilia hapo hapo Mbowe, maana toka lile pigo moja kuna mipanya buku zaidi ya laki imetoka kwenye shimo ikikimbia hovyo hovyo huku ikiweweseka