mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Hayo ndo matokeo mliyoyaita maridhianoAkihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,
"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the Press to save our nation from this Shame by Withdrawing the Intention to go into that kind of a contract." mwisho wa kunukuu.
Toa Maoni yako.