Mbowe ANATUMIKA maslahi ya nani ?!!!
Katika uwekezaji wa ARAB CONTRACTORS...walikwenda kuongea na chama rafiki cha ujerumani "CDU"....chama kikalobby bunge lao "bundestag" waishinikize serikali ya Tanzania ijitoe katika ujenzi wa BWAWA LA UMEME mwalimu Nyerere kwa hoja kuwa Tanzania inaharibu mazingira....
Tanzania "think tankers" wakawaridhisha UNESCO kuwa tutatumia tu 3% ya eneo lile...97% intacts....[emoji1787][emoji1787]
Wajerumani CDU wakapiga mwereka chini.......
Ilikuja kufahamika kuwa "hawataki" Tanzania iwe na umeme wa uhakiki ...watauza wapi MAJENERETA yao ?!!!!
Si hilo tu ,ikaja kufahamika kuwa "wakoloni wetu" wanaogopeshwa na kasi ya JPM kutia nia ya ujenzi wa viwanda kwa kuanzia vidogo....
Katika hili la uwekezaji wa DP WORLD nyuma yake kuna kitisho gani cha maslahi ya "wenye maguvu" DUNIANI?!!!
Je ni mashirika ya wachina?!!!
Je misuguano ya EU na Marekani katika biashara imeamkia dhidi ya uwekezaji huu wa DP WORLD?!!!!
MBOWE ANAWATUMIKIA AKINA NANI?!!!
Kama anaweza "kukunja" bilioni 2 za ruzuku atashindwaje kuwa dalali wa kupokea "maEURO"?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app